Hivi nini msingi wa tozo ya parking mjini?

Hivi nini msingi wa tozo ya parking mjini?

Heri ya mwaka mpya wakuu!

Kuna mambo hapa Tz ukiyafiria unakosa mantiki ya sheria na kanuni tunazozianzisha.

Hivi nini msingi wa kutoza ushuru wa kupark gari maeneo ya mjini? Natoa ushuru kwa nini hasa ? Mimi kutembea na gari ? Hivi gari ni kitu Cha anasa kumiliki ? Mimi kutumia gari nafaidika nini kiuchumi hadi unitoze ushuru? So mnataka tuwe na magari yanayoshinda tu home?

Ngozi nyeusi tunatatizo jinsi tunavyo fikiria ? Sijui tulicopy wapi upuuzi huu?
mkuu sio Africa tuu china na nchi zingine kubwa pia wanamfumo huu
 
K
Serikali za miji, manispaa, jiji zimetengenezwa maeneo ya kupaki magari au wanatoza paking fee kwa kigezo gani?
Kigezo sina hakika ila hiyo zoto inapunguza msongamano wa magari kwasababu watu wengi wasingependa kulipa hiyo tozo, hivyo hawatapark gari zao mahali popote. Chukulia mfano kusingekua na hiyo tozo it's means kila mtu angepaki gari yake pale posta, zizani kama pangepitika
 
pei as yu en

haiwezekan mm sina gari silipii kitu

halafu ww una ndinga na ww eti usilipie

🏃🏽🏃🏽
 
Hili halifanyiki Tanzania tu hata nchi zilizoendelea kwenye miji mikubwa kuna tozo za parking....! Kwa iyo usianze kulaumu we omba tu ufafanuzi...!
Hapa dar wanatufuata mpaka kwenye makazi ya watu, wanakera sana
 
Heri ya mwaka mpya wakuu!

Kuna mambo hapa Tz ukiyafiria unakosa mantiki ya sheria na kanuni tunazozianzisha.

Hivi nini msingi wa kutoza ushuru wa kupark gari maeneo ya mjini? Natoa ushuru kwa nini hasa ? Mimi kutembea na gari ? Hivi gari ni kitu Cha anasa kumiliki ? Mimi kutumia gari nafaidika nini kiuchumi hadi unitoze ushuru? So mnataka tuwe na magari yanayoshinda tu home?

Ngozi nyeusi tunatatizo jinsi tunavyo fikiria ? Sijui tulicopy wapi upuuzi huu?

Tembea tu, wengine tutalipa
 
Hakunaga cha bure mzee duniani kote

Ova
 
Msingi wake ni nn? Je wanaona mtu kumiliki gari binafsi ni faida au anasa?
Hujiulizi kwanini unajenga nyumba na unalipia kodi ya jengo na kiwanja ?
Hii dunia tuko kwa ajili ya kulipia tu vitu na mali

Ova
 
Nchi za wenzatu Wana udhuru Hadi wa kuingia na Gari mjini...usipolipa hutakiwi kuleta kiberiti Chalo mjini.
 
Back
Top Bottom