Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,085
Hahaha[emoji23][emoji23] lakini faida zake kiafya ni nyingi,so, nilitegemea biashara hii iwe endelevu hasa ukizingatia wagonjwa ni wengi sana siku hizi.Ulikuwa ni upepo tu nao ulishapita.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila mkuu kumbuka hata kwenye biblia ndege hawa wana wa izraeli walishushiwa kware kutoka mbinguni wakiwa jangwani. Hapo achilia mbali utafiti wa kisayansi kuthibitisha faida lukuki za ndege huyu.Hata wewe ukitaka kupiga ela
Tafuta idea tu, tangaza wazo mbuni anaponya kansa na ni kinga kwa walio wazima idea ikibamba hakikisha una mayai na vifaranga wa kutosha kuanza kusambaza. Mpk ije isitukiwe ushakuwa bakhresa
kivipi??Sababu ni kware hafugiki
Nayatafuta ili niyatumie mimi na nyumba yangu kwa sababu nimezijua faida za kware.Nawe unayasaka kwa lengo la ‘faida za kiafya’ au biashara..?
Biashara ni promo na timing, kwa sasa tunauza sana CHIA SEEDS kwamba zina faida lukuki kiafya.... jifunze kwenda na mdundo.