Hivi nina tatizo?

kwa njia hiyo huwezi kuishi na mke, la msingi ni kuaminiana na kuelezana ukweli ila si kuchunguzana wakati wote. Ukiendelea na tabia ya sasa uliyonayo utakuwa na idadi kubwa ya kina dada na matokeo yake unaweza kupata matatizo (ya kiakili au magonjwa). Hakuna binadamu aliyetimilifu. Inawezekana una matatizo ya kisaikolojia unaweza kuwaona wataalamu. Ukimchunguza kuku alacho (wa kienyeji) unaweza usimle. Mbona na wewe unatamani na wengine?
 
aiseh mbona mkeo atapata tabu sana au nayeye atachezea talaka tatu,hiyo tabia si nzuri kabisa oooooooooh
 
Vitu vingine vdogo ni kuvidharau ili maisha yasonge mbele hakuna aliye mkamilifu na kila mtu ana madhaifu yake inabidi kuchukuliana,kusameheana na kuelimishana.
 
Now that bossman is on the control room, mie napita pia. Ngoja upewe sure. Manake kama kila ukimhisi mpenzi unamchunguza hadi kupata ushahidi sijui kama kuna relationship ingedumu. Kama ni flirt zinafanyika, na kuitwa sweetheart maa mrembo ni kawaida sanaaa! Ndo maana hata Bible imeandika, Bwana kama wewe ungehesabu maovu ni nani angesimama?

mie nadhani twaweza kuwa tuko sawa

naweza uliza, ama nikatumia sense ya sita, na nikitumia sense ya 6 ni hatari tupu

:target::target::target:
 
kwa njia hiyo huwezi kuishi na mke, la msingi ni kuaminiana na kuelezana ukweli ila si kuchunguzana wakati wote. Ukiendelea na tabia ya sasa uliyonayo utakuwa na idadi kubwa ya kina dada na matokeo yake unaweza kupata matatizo (ya kiakili au magonjwa). Hakuna binadamu aliyetimilifu. Inawezekana una matatizo ya kisaikolojia unaweza kuwaona wataalamu. Ukimchunguza kuku alacho (wa kienyeji) unaweza usimle. Mbona na wewe unatamani na wengine?

aiseh mbona mkeo atapata tabu sana au nayeye atachezea talaka tatu,hiyo tabia si nzuri kabisa oooooooooh

Ukiujua ukweli utakuweka........Kimsingi sichunguzi kwa sababu nataka kuchunguza at first place lakini ile "sauti ya ndani" nikiisikia kwamba hapa nadanganywa siwezi kukubali kuishi kwa mashaka.Nieleweke simtafutii mtu sababu za kijnga au kwa kuhisi kijinga bali kuna sign za hatari ambazo ni vizuri kujiridhisha ili kuwa huru.

Labda la kimsingi hapa ni kuamua kupoezea kila utakachokihisi (hata kama hisia zako ni sahihi) au kuutafuta ukweli ili kuwa huru.

Vipi na ninyi ukiona dalili zote za ku-cheat au kudanganywa unameza jiwe tu?
 
Vitu vingine vdogo ni kuvidharau ili maisha yasonge mbele hakuna aliye mkamilifu na kila mtu ana madhaifu yake inabidi kuchukuliana,kusameheana na kuelimishana.

Kwa mfano unamuona hg ni mtu muhimu na kwamba in future she can be..........Halafu unakumbana na huo ushahidi unakausha au unachukua maamuzi? (si lazima kuachana lakini kuonyesha kwamba wewe si rahisi kudanganywa na aamue kusuka au kunyoa)

Main point is nimeelezea kwa kirefu "kale ka uwezo kangu ka ndani" kwamba sitaki kumshuku mtu kwa ubaya lakini pale kengele inapogonga kichwani lazima itakuwa sahhih amini usiamini!!!

Ndipo napouliza ni vizuri kuitii hii sauti au kuipuuzia? Kaunga na King'asti unajua ninyi siku hizi mnatazama sana SCOAN................Hivi kwa kitu kama hiki waweza sema ni pepo?
 
Last edited by a moderator:
vitu vingine unameza mate unachanganya na koromewo mambo yanajipa ya nini kujitia presha mtoto wa kiume unapunguza siku za kuishi bureeeeeeeeeeeeee kwa kufikiri sana vitu vya kubomoa badala ya kujenga.
 
Back
Top Bottom