mie kiengereza bado kinanisumbuaI am I normal kweli.
mie kiengereza bado kinanisumbua
mie kiengereza bado kinanisumbua
Mimi pia kahawa inaniletea usingizi tena wakunitosha,embu ngoja wanaojua waje watuelezee,
newdawntz, watu tofauti wana-respond tofauti kwa stimulants na hivyo vileta usingizi. sidhani kama ni tatizo hayo matokeo yako. wasiwasi wangu ni kuwa ni kwa nini wakati mwingine unahitaji kuji-induce usingizi na wakati mwingine huutaki? kuna kitu kinaitwa 'body clock',ambao ni mfumo mwili wako umejiwekea ili kuweza ku-cope na mahitaji. ukiona una usingizi ujue mwili unahitaji kupumzika. na usipokua na usingizi pengine mwili hauhitaji kuzimika ama pumziko unaotaka sio kusinzia bali ku_relax ingetosha. tiba mojawapo ya sleeping disorder ni kufanya mazoezi (physical exercise). utakapolala mwili uta-relax vya kutosha na wakati unapohitaji kuwa macho mwili utatoa ushirikiano. usije ukajikuta siku unaweka njiti za kiberiti kuzuia jicho kufunga,lol!
Tatzo lenu mnakunya kahawa kwa kutia sukari au mnatafunia kashata!
Kumbukeni sukari inaleta usingizi so reaction ya kahawa+sukari kahawa inaact kama catalysit ku alter and speedup usingizi!
So lazma ulale usingizi wa pono!
Ebu piga kahawa kikombe kimoko zen gona kiroba ki1 tu uone kama utaweza hata kukonyeza!
mie kiengereza bado kinanisumbua
mmh! huyu dr.Riwa mtaanza kummis-use adi na hili nalo la dr.Riwa!!!!!Wewe mleta mada tunafanana kweli hili tatizo gnoja Dr. Riwa aje atupe majibu. Mie mkoani kwetu Kagera tunatafuna sana lakini ifika jioni hatutafuni tena.