katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
- Thread starter
- #41
Malizia kazuri bila chenga mgumu kwa vitendo mrahisi kwa maneno.utakuwa tayari matumizi ahahaha uwe na siku njema katoto
Nawewe pia .
Malizia kazuri bila chenga mgumu kwa vitendo mrahisi kwa maneno.utakuwa tayari matumizi ahahaha uwe na siku njema katoto
Nimeingilia yanani kwa mfano???Kila mtu na life style yake usiingilie mambo ya watu.
The feeling should be mutual...Huu upuuuzi siwezi ufanya
ME au KE?Nimewahi onga pipi kijiti kwa kiben ten kina miaka miwili
sio bure kuna mtu amelengwa hapaWadada mnachafuliwa na wakaka kila mahali hata hamna haya.
Mkimaliza kuchafuliwa eti mnaenda kwenye pochi zenu babe chukua hii pesa nunua chochote unachokipenda hata haya hamna.
Nimechukia mpaka nimewaonea huruma.
Kumpigia mwanaume simu ukamjulia hali sio mbaya.
Ubaya niile unachapwa double halafu unailipia service.
Hivi mnaofanya hivyo mnaakili huwa eti??
Kwatarifa yenu mtabaki mkionga nakufumania mpaka mzeeke .
Raha ya mapenzi ni kutunzwa.
Kupendwa.
Kujaliwa ndio raha sio kununua service ni aibuuu nyie watu.
Komeni kununua watu bora uwe single kuliko kuhonga ili ujishaue kwa mashoga utakuja ishia kubaya hata kama umeolewa.
#tag acheni tabia hii wanawake mnatoa hela kwa vibenten na wanaume mnaaibikaa .
Kimeniuma nanimetoa dukuduku kikikuuma kunywa panadol au kilevi kutuliza hasira.
Hata kama unahela kivipi kasaidie kwenu ukimaliza ukoo unakusubiri wanashidaa acha kujishaua mjini nahuku kijijini wazazi wanalala njaa.
Wapi wewe mpaka sasa mkichokwa mnafukuzwa kama wamama aibu zenuu wakina babaKama ww huna za kuhonga tulia ujikune mwenyewe
nimefanyaje? Kwan katoto huwez kumalizana naye bila kunitaja??Wewe ni wa madam s haya mimi na wewe wapi na wapi isitoshe mimi sihongagi na hongwa.
mh mhOh Where is my wi MADAM S njooo mumeo ananichokoza ili unichambe naunajua sijakuwa bado mbichi kama nini
umeulizwa niko wapi mbona umekimbia swali la pili hili sumjibu tu, akiiva mkianza mahusiano mnishtue niwe matron wakenakuchokoza tena?? ngoja nikuache nasubiri uive kwanza
Ni mwanamke chief (...hamna haya.) Tena anaonekana ni chenchede wale watamu.we ni ME au KE?
Kumbe... hawa ndio nawatafuta.. unavipiga SHOW... alaf anakuja kuleta mrejesho.. humu JFNi mwanamke chief (...hamna haya.) Tena anaonekana ni chenchede wale watamu.
swali lile limenizidi umri ndio maana sikujibuumeulizwa niko wapi mbona umekimbia swali la pili hili sumjibu tu, akiiva mkianza mahusiano mnishtue niwe matron wake
umegoma kule? Sawa zingatia kauli yangu nahitaj kua matron wakeswali lile limenizidi umri ndio maana sikujibu
napita zangu
Bibie mmalizane vizuri mimi sipo hapoumeulizwa niko wapi mbona umekimbia swali la pili hili sumjibu tu, akiiva mkianza mahusiano mnishtue niwe matron wake
relax nataka kua matron wako, mkubalie uwe naeBibie mmalizane vizuri mimi sipo hapo
😂😂😂😂 makubwa kulikoni???? Shoga unanikabizi mali yakoo dah nawasiwasi😨😨relax nataka kua matron wako, mkubalie uwe nae
Shoga yangu unakumbuka uliniambia niache utoto ni time ya kukua kumbe kifaa chako kikadata na swagga zangu .mh mh
ni mwislam anaruhusiwa mke zaidi ya mmoja kubalo naomba uwe mke mwenzaShoga yangu unakumbuka uliniambia niache utoto ni time ya kukua kumbe kifaa chako kikadata na swagga zangu .