Hivi ni waulize swali nyie wanawake

Hivi ni waulize swali nyie wanawake

Hujui machungu ya kuhonga ndo maana ukihongwa unaanza kujizungusha zungusha

Ukihonga ndiyo utajua maswaiba ya tuyapatayo wanaume

Kama mgeyajua mngeacha kutusumbua na kulingia vipapuchi vyenu
Hasira ya nini kama umeoa tulia na hallai yako sio kila siku kukicha unafukuzia vident vya shule na vya chuo na kama hujaoa oa ule kwa nafasi.
 
Halafu ukihudumia mgodi unalalamika mpaka unawaita watu malaya.
Au wakuja huyo acheni majibu ya hovyo ni haki yenu kutupa matunzo daily nyie sio sisi.
 
Chakarikeni mtupe fikirieni kutupiwa mabegi njee eti umechokwa hiyo siaibu kwa mwanaume kweli??
 
Hivi kuna wadada wapo hivyo eeee?

Nina mashaka na wanakozipata hizo pesa za kuwahonga hao Me na si ajabu ikawa zinatoka kwa Me huyu halafu inakwenda kwa me yule.

Sababu hela ya kutafuta mwenyewe inakuwaga tamu hatari.
 
pole sana inaonekana wenye pesa wamekuchukulia KIBEN 10 chako.

acha povu tafuta pesa na ww ukawaibie VIBEN 10 vyao muwe ngoma droo
 
pole sana inaonekana wenye pesa wamekuchukulia KIBEN 10 chako.

acha povu tafuta pesa na ww ukawaibie VIBEN 10 vyao muwe ngoma droo
Wala sitokagi na vitoto natoka natoka na watu wazima.
Naona vibenten kwangu nope sisiki kama nimefika nitakako.
 
Hivi kuna wadada wapo hivyo eeee?

Nina mashaka na wanakozipata hizo pesa za kuwahonga hao Me na si ajabu ikawa zinatoka kwa Me huyu halafu inakwenda kwa me yule.

Sababu hela ya kutafuta mwenyewe inakuwaga tamu hatari.
Yes mpaka wanapigana wanafumaniana hadi sumu wanawekeana ikibidiii ni machizii eti hayo mashangingii unapata kwajasho unatoa hela noumaa.
 
wala sijakasirika kwani naonekana hivyo??

swali lako ni rahisi nalijibu kirahisi...unataka iwe hivyo??
Oh Where is my wi MADAM S njooo mumeo ananichokoza ili unichambe naunajua sijakuwa bado mbichi kama nini
 
Back
Top Bottom