yanapimwa mkuu ila Mush ilo lako daah sina uhakikaYn namaanish wanapima au wanafny vp ili kukupa thamn ya jiwe lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Samani =Ni neno linalo tambulisha vitu mfano wa viti , meza na kabati.Dogo ayo Ni mawe kwenye mchanga wala hayana samani yoyote katika madini kiufupi ni kokoto tuuh
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Ahsante snSamani =Ni neno linalo tambulisha vitu mfano wa viti , meza na kabati.
Thamani=Ni neno linalo tambulisha ni kwa kiwango gani kitu kinafaa mfano madini , fedha na uhai.
《Caprichar o teu sorriso》
elimu ndg ,,,,,nayo n ishu Mimi nimefunzwa kutaft ela tuh
hahahahahhahahaha Mchaga na pesa ni kama mlokole na uzima wa milele.
typing error,kwako ONI SIGLLASamani =Ni neno linalo tambulisha vitu mfano wa viti , meza na kabati.
Thamani=Ni neno linalo tambulisha ni kwa kiwango gani kitu kinafaa mfano madini , fedha na uhai.
《Caprichar o teu sorriso》