Hivi ni vidonge GANI?

Hata kama ana ngoma,, kama anatumia vidonge, hawezi kukuambukiza,, bila hivyo tungeisha,, 🤷🏾‍♂️
Shida inakuja utajuaje alikua anakunywa au kuna vipindi alikua anaacha..?
 
Hivi wazee kama demu ana ngoma ukipiga deki uwezekano wa kupata na penyewe upo au
 
Vya ukimwi
 

Attachments

  • Screenshot_20230218-174553.png
    132.7 KB · Views: 12
Kula vizur, fanya mazoezi , pumzisha mwili wako , ukizingatia hayo utaishi Kwa matumaini , by the way unayo nafasi hebu jiamin
Qumamake hii jf hii ina watu daah, mtoa mada acha kutufikirisha 😁😁😁 cocastic njoo ucheke huku.
 
Ila baharia hujasema kama demu ni wako au ni vya nani wako.
Au unahitaji attention yetu tu amna lolote.
 
Angalau mpenzi wako anatumia dawa...... Mpe hongera na mwambie ajitahidi kuzingatia matumizi sahihi
 
Kwa hiyo Ampiclox ina maandishi gani??? Dawa inatambuliwa kwa namna nyingi.. Colour..Shape..Marks..Size kama hizo huwezo sema ni panado.
Ni ushauri Daktali lakini siyo mimi. mimi naona tu mara kuna panadol enye umbo kama hilo ila zinarangi nyeupe zinafanana sana dawa fulani hutibu U.T.I
Nyingine ni fraijili zile nimeona haziji kwa rangi moja, na hata muundo hutofautiana.

Mimi kuna wakati madawa ninayopewa hospital sizitumii zikaisha, utakuta ndani kuna badawa mengi, huwa nashindwa kuzichanganua ili kuzitumia ninachofanya ni kuzitupa, ili kujihakiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…