Habar wakuu wakati natafuta tafuta brash la Viatu kupekua pekua nimekuta hivi vidonge naomba kujuzwa ni nini hivi kwasabu sijawahi kuviona
Jamani naombeni majibu naona watu mna comment masihara sana naombeni jibu la kuelewek tafadhali naombeni sana majibu
AsantenView attachment 2521628
Ondoa shaka mkuu ivi ni vidonge vya uzazi kuzuia Mimba.....kataa wahuniHabar wakuu wakati natafuta tafuta brash la Viatu kupekua pekua nimekuta hivi vidonge naomba kujuzwa ni nini hivi kwasabu sijawahi kuviona
Jamani naombeni majibu naona watu mna comment masihara sana naombeni jibu la kuelewek tafadhali naombeni sana majibu
AsantenView attachment 2521628
Mhmmm vya ukimwiOndoa shaka mkuu ivi ni vidonge vya uzazi kuzuia Mimba.....kataa wahuni
Dah kimasihara imeondoka na mtu ni huzuni mkuuView attachment 2521656
Mkuu hizo ni dawa za kufubaza makali ya virusi vya ukimwi..sema nae taratibu,ila usipaniko.
Yah nlichanganya files ,Truvada ni dozi ya kupunguz makali ya ukimwi so sadMhmmm vya ukimwi
Baharia mwendo umemaliza upumzike kwa amani πJamani naombeni majibu basi
Lakini Wala sikupataNilishakula demu akawa analazimisha Sana nivae two condoms nikavaa,huyu aliniomba msaada nikamsaidia halafu nikamwomba penzi akawa anagoma goma baadaye akaniambia sharti nivae condom double,nilivaa nikamla baadaye akaniambia ukweli,
Ukimshtaki ndo unakuwa umepona?Una haki ya kumshtaki mkuu amekuambikiza kwa kukusudia!