Ondoa hofu kabisa Kama umevikuta kwenye viatu pasina shaka hivyo vitakuwa kwa ajili ya wadudu warukao na watambaao.Nawasilisha!,nakaribisha maswali,ushari,dukuduku,hasira,jazba,,,,au bac tyuu
Anatakiwa awe alikua mtumiaji mzuri wa dose, akitumia vizuri, viral load inashuka sana kiasi kwamba hawezi kuambukiza,,
Ndio maana wanasisitiza sana, mtu akipima akutwe na hiv aanze dose mara moja,, ni kwasababu hiyo,, kama wenye hiv watafuata dose, hakutakua na maambukizi mapya na ukimwi utaisha