Unatakiwa utoe maoni ya kusifia tuuHivi ni nani hasa anayetakiwa kutoa maoni nchini kwetu Tanzania?ni mwana ccm,mwanaukawa,msomi,au mtu wa aina gani anayetakiwa kutoa maoni?je maoni yanayotakiwa kutolewa,na mwananchi ni maoni ya aina gani?
Katiba inatoa haki ya mwanachi kutoa maoni yake,lkn ukitoa maoni unaitwa mchochezi,hivi ni maoni yapi hasa yanatakiwa kutolewa na wananchi wa Tanzania
Mwenye jibu tafadhali
Ushabiki Wa kisiasa kwanza maoni hayana Nafasi Tz.Mange Kimambi, Nyani Ngabu na Mzee Mwanakijiji. In other words Diaspora japo nao wanajichongea tu na dual citizenship wataisikia kwenye BBC
Ndivyo katiba yetu ilivyoandikwa?
[HASHTAG]#JUSTICE[/HASHTAG] FOR LEMAHivi ni nani hasa anayetakiwa kutoa maoni nchini kwetu Tanzania?ni mwana ccm,mwanaukawa,msomi,au mtu wa aina gani anayetakiwa kutoa maoni?je maoni yanayotakiwa kutolewa,na mwananchi ni maoni ya aina gani?
Katiba inatoa haki ya mwanachi kutoa maoni yake,lkn ukitoa maoni unaitwa mchochezi,hivi ni maoni yapi hasa yanatakiwa kutolewa na wananchi wa Tanzania
Mwenye jibu tafadhali
mkuu umekwivaaaa....Munafiq