Hivi ni nani hasa anayetakiwa kutoa maoni nchini kwetu tanzania

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Hivi ni nani hasa anayetakiwa kutoa maoni nchini kwetu Tanzania?ni mwana ccm, mwanaukawa, msomi, au mtu wa aina gani anayetakiwa kutoa maoni? je maoni yanayotakiwa kutolewa,na mwananchi ni maoni ya aina gani?

Katiba inatoa haki ya mwanachi kutoa maoni yake,lkn ukitoa maoni unaitwa mchochezi,hivi ni maoni yapi hasa yanatakiwa kutolewa na wananchi wa Tanzania

Mwenye jibu tafadhali
 
Hivi ni nani hasa anayetakiwa kutoa maoni nchini kwetu Tanzania?ni mwana ccm,mwanaukawa,msomi,au mtu wa aina gani anayetakiwa kutoa maoni?je maoni yanayotakiwa kutolewa,na mwananchi ni maoni ya aina gani?
Katiba inatoa haki ya mwanachi kutoa maoni yake,lkn ukitoa maoni unaitwa mchochezi,hivi ni maoni yapi hasa yanatakiwa kutolewa na wananchi wa Tanzania
Mwenye jibu tafadhali
Unatakiwa utoe maoni ya kusifia tuu
 
Mange Kimambi, Nyani Ngabu na Mzee Mwanakijiji. In other words Diaspora japo nao wanajichongea tu na dual citizenship wataisikia kwenye BBC
 
Katiba yetu imeanisha, pili Tz ya leo maoni utakayo yatoa yanapuuzwa kwa sababu za kisiasa.
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
 
Hivi ni nani hasa anayetakiwa kutoa maoni nchini kwetu Tanzania?ni mwana ccm,mwanaukawa,msomi,au mtu wa aina gani anayetakiwa kutoa maoni?je maoni yanayotakiwa kutolewa,na mwananchi ni maoni ya aina gani?
Katiba inatoa haki ya mwanachi kutoa maoni yake,lkn ukitoa maoni unaitwa mchochezi,hivi ni maoni yapi hasa yanatakiwa kutolewa na wananchi wa Tanzania
Mwenye jibu tafadhali
[HASHTAG]#JUSTICE[/HASHTAG] FOR LEMA
[HASHTAG]#BRING[/HASHTAG] BACK OUR BEN ALIVE
[HASHTAG]#FREE[/HASHTAG] MAXENCE MELLO
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom