Hivi ni nani anamiliki Federal Reserve Banks na Central Banks zingine duniani?

Mkuu
Kama tunazungumzia NWO mkuu basi ni wazi hatuwezi kuingiza habari za Rothschild family. NWO tunaweza kuhusisha mataifa kama urusi, uchina, Marekani na washirika wake wa NATO na Iran. Mfano rahisi tunaweza kuangalia mgogoro wa Syria hivi sasa ambao ni tunaweza kusema ni vita kati ya Marekani na urusi.
Punguza kula kahawa na tende mkuu.umekuwa brainwashed vibaya sana.Unataka kutuaminisha kuwa Iran ni super power kiasi hicho?
 
Watu wengi husema hivyo, kwamba marekani inasaidia Israel! Lakini hawajui uhalisia! The mainstream media will never tell you the Truth. in real sense, america inasaidiwa na Israel.

Mtu anaweza kutaja London, new york, zurich, Tokyo au kwungine popote, lakini All the global businesses are finalized in Tel Aviv!

Oil, Gold, Diamonds n.k
Nakupa salutes
 
Rothschild Empire ndio wanamiliki federal Bank pamoja central banks karibu zote duniani. Rockefeller bado wanabip kwambali wakifuatiwa na JPMORGAN.
 
Zaidi wanamiliki sehemu kubwa ya Nchi ya Israel, yaani 80% ya ardhi yote ya Israel walinunua wao kutoka kwa wapalestine enzi za ukoloni wa Mwingereza. mpaka leo Israel inaendelezwa kwa gharama za familia hii. Ashkenaz jews wengi wana tokea Ulaya hasa Ujerman, na ndiyo wamekuwa mawaziri wakuu wa israel tangu ijipatie uhuru. sehemu kubwa ya wayahudi wa leo ni vitukuu wa Rothchild na familia zingine 12 rafiki, ambazo ziko juu kiuchumi Duniani. wanaoana wao kwa wao ili utajiri wao uwe ndani ya familia zao,mfano wa familia hizo ni kama;

Cavendish family.
La medici familily.
David Lock feller
Melovengian family
Maquiz de Libex.nk.

hawa kwa utajiri wao hapa duniani ni usipime, hawana tabia ya kujitangaza km sijui Bill gate ''no'' ndo wako ivo, wengine hudai ni kwa sababu ya uharamu wa kipato chao.

Wanaaminika kwa kuipa nchi ya Israel mamilion ya dola bila riba, kwenye bajeti yao, kupitia mgongo wa Marekani.
USA haisemi chochote kuhusu familia ya ma -Bank haya,
moja; kwa sababu wana control media zote muhimu duniani.
pili; ni kwa kuwa wengi wa watawala wanaotawala na watakao tawala ni watoto wao. zaidi ndo hizi hizi familia zinapendekeza nani anafaa awe Rais wa USA, na ni nano siyo, ukiangalia sana ma Rais wa marekani huchaguliwa kwa damu, yaani viongozi wanapatikana kutokana na vizazi hivi. wana wa familia hizi wako juu ya sheria Duniani kote, siyo wanamiliki Bank tu, bali pia migodi mikubwa yote Duniani, Mega armament industrious, Oil giants, Mashamba makubwa kama yale ya michai Njombe na Iringa, Kisumu, S/Afria, Zimbabwe .WB, ITO,IMF, WTO nk

WANA AMINI VITA NI FAIDA.
Hupata fursa hii kwa kudhamini vita ya mahasimu wawili wanaopigana, then wanafanya upande mwingine ushindwe maksudi mazima ajabu sasa hapa napo sehemu iliyoshindwa kuna faida inapatikana mfano vita ya mwaka 1780 kati ya Ufaransa chini ya Generali Bonaparte na Uingereza ya Sir Wellington.
waligawana mtu na mdogo wake jinsi ya kutoa udhamini wa vita kwa pande mbili hizi, Jacob Rothchil aliwadhamini waingereza, na mdogo mtu Nathan Rothchild akadhamini wafaransa vita ikaanza.
matokeo wakatoa ushindi kwa waingereza sababu ndiko walipopata faida kubwa zaidi kwa kuuza hisa za mabenki ya Uingereza kwa bei za kutupa.
 
Umekula chakula cha mchana?
 
Hujaelewa swali nililomuuliza. Amekazana kuandika story za kusadikika tu kakaza vidole kuandika maandishi mengi wakati Hamna lolote
Siyo za kusadikika, ni real, nahawa nimewaishi hapa nilipo.
 
Back
Top Bottom