Hivi ni nani anamiliki Federal Reserve Banks na Central Banks zingine duniani?

Mkuu nondo zako umefata ughaibuni? Ulihaidi utakuja nazo na mikwara mingi lakini bado kimya. Mimi binafsi nahitaji nondo zako zinaweza kuniongezea nisichokijua ila nashauri kama kuna kitu kipya

Mkuu nondo zako umefata ughaibuni? Ulihaidi utakuja nazo na mikwara mingi lakini bado kimya. Mimi binafsi nahitaji nondo zako zinaweza kuniongezea nisichokijua ila nashauri kama kuna kitu kipya kwako na wewe soma upate kuongeza kitu kwa kile ulicho nacho.
Mkuu nimejiandaa usinione kimya. Ha ha ha asante kwa ushauri kiongozi. Tatizo kuna baadhi ya wachangiaji hapa wana majibu ya kashfa na dharau hawa vijana kuendesha nao mijadala inahitaji Hekma kidogo na busara lasivyo unaweza kupigwa Ban.
 
Mkuu wayahudi sio kama unavyowafikia hawa jamaa wanajua mbinu za kutawala dunia.
Labda nikupe mfano mdogo tu nenda ukasome historia ya wanafunzi wa yesu kwa kipindi kile almost wote walikufa wakiwa mataifa ya mbali. Sasa kipindi kile cha yesu hawa wayahudi walishaanza kuzunguka dunia wakati hata wazungu wenyewe wanatawaliwa.
Mkuu katika watu walioanza kuzunguka dunia hii kabla ya hata hao wayahudi ni wagiriki.acha upotoshaji.
 
its all about NWO.......
tunahumiza vichwa tuu......
Mkuu
Kama tunazungumzia NWO mkuu basi ni wazi hatuwezi kuingiza habari za Rothschild family. NWO tunaweza kuhusisha mataifa kama urusi, uchina, Marekani na washirika wake wa NATO na Iran. Mfano rahisi tunaweza kuangalia mgogoro wa Syria hivi sasa ambao ni tunaweza kusema ni vita kati ya Marekani na urusi.
 
Familia ya rorhschild na rockerfeller niliwahi kusoma mahala kwamba ndio waanzilishi wa mifumo ya money & banking.....kwa hiyo uanzishwaji wowote wa taasisi inayoitwa bank wao wana asilimia yao ... for entire life...
Huo ni uongo mtakatifu.acha uvivu ingia hata Google soma historia ya benki utagundua kuwa pamoja na Rothschild kufanya biashara hiyo walikuwapo bankers wengine wengi tu hasa kutoka Italia ambao walikuwa na nguvu zaidi.
 
Hata ya Russia kweli wanayo hawa Illuminat? Putin hataruhusu hilo jambo hata mara moja..
 
Nilikuwa nataka nikuambie wayahudi walishaanza kutembea dunia yote miaka ile nimekutolea mfano wa wanafunzi wa yesu kwa sababu ndio ambao kutembea kwao duniani kunajulikana kwa maandishi. Lakini point ni kuwa wayahudi walianza muda mrefu kutembea duniani kufanya biashara
Okay
Lakini ulicho kisema hakija ni convince kabisa... Na kwa wale wafuasi 12 hawakuzunguka sana. Maana hali ilikua tense sana kipindi kile. Wengi walikua captured and prosecuted....
Only apostle Paul ndie alie fanikiwa kuzunguka kuliko wote nae hakucover ground kubwa sana.
 
Nyerere ndiyo aliwafuata akawaomba wampe hela za kuendeleza dodoma iwe kama dubai! Hawa jamaa wakamwambia tutakujengea mji bure tutasimamisha majenge yetu marefu ila sharti la kwanza majengo yote juu yatakuwa na lebo/nembo ya jina letu Rockerfellar, Mwl kawaambia basi sitaki tena misaada yenu!!
Sasa nimeanza kuyaona magari yao "Rockefeller Foundation" hata sijajua wanashughulika na nini hasa hapa nchini.
 
Sasa nimeanza kuyaona magari yao "Rockefeller Foundation" hata sijajua wanashughulika na nini hasa hapa nchini.
Ni wafadhili wa miradi mbali mbali ya kimaendeleo kama nakumbuka sawa sawa Johd D.Rockefeller Jr alikuja mwaka Jana hapa.
 
Hiyo mada ni ngumu kumeza ili uwelewe hayo mambo ujitoe kweli kweli kusoma vitabu na majarida mbali mbali yanayoelezea shughuli zao.
 
Sijasema bill gates anamiliki bank. Halafu tambuwa kumiliki bank si kuwa na hela.Benki zinatoa service kwa kuweka fedha za watu , makampuni,serikali n.k. halafu huwezi kusema ana struggle kuwa moja wa matajiri wakuu duniyani. Bill gates kama ulikuwa hujuwi ndio mtu binafsi mwenye utajiri kupita watu wote duniya nzima na ushahidi ninao.sasa hebu niwekee ushahidi wa utajiri binafsi wa hiyo familia yako tuone.
Basi tuseme mfalme wa Saudia ndo anamiliki dunia na kuitawala au Iran.Unachoelezwa jaribu kukifanyia utafiti ndo ujue.Roschild family pamoja na kanisa katoliki ndo mastermind wa kila kinachofanyika.Jaribu kuchukua muda ujisomee ndugu
 
Back
Top Bottom