Hivi ni nani anamiliki Federal Reserve Banks na Central Banks zingine duniani?

Sijasema bill gates anamiliki bank. Halafu tambuwa kumiliki bank si kuwa na hela.Benki zinatoa service kwa kuweka fedha za watu , makampuni,serikali n.k. halafu huwezi kusema ana struggle kuwa moja wa matajiri wakuu duniyani. Bill gates kama ulikuwa hujuwi ndio mtu binafsi mwenye utajiri kupita watu wote duniya nzima na ushahidi ninao.sasa hebu niwekee ushahidi wa utajiri binafsi wa hiyo familia yako tuone.
Hapo ni dunia mkuu..
Sio duniya.......
 
Rothschild sio wayahudi , ila ni wa Georgia historical ila wamejibadili na kuwa kama waisraeli pia kuanzisha jamii iitwayo Ashkenazi Jews , ambayo wameitumia miaka gedegede na kufanya yao ila kiuhalsia sio waisrael ni historia ndefu ila inaanzia kwa baba yao aliyeitwa Bauer aliyejibadili jina na kujiita Bauer Rothschild ,

Kiufupi Rothschild family wameshaikamata duniani tunachosubiri ni NWO
wayahudi na jwalitapakaa ulaya na mashariki ya kati karne nyingi zilizopita.
Pili unapaswa kujua hata founders wa current jewish state walitokea Poland Chini ya uongozi wa Ben Gulion, Inawezekana akaja mtu akasema waisrael ni wapoland. inategemea unaangalia kwa mtazamo upi. Kwa mtazamo wako hawa jamaa wametokea Khazars baada ya mfalme wao kubadili dini na kuwamyahudi 750AD. DNA test imethibitisha there is brood relation between middle east jews Ashkenazi jews including Rothchilds.
 
Sijasema bill gates anamiliki bank. Halafu tambuwa kumiliki bank si kuwa na hela.Benki zinatoa service kwa kuweka fedha za watu , makampuni,serikali n.k. halafu huwezi kusema ana struggle kuwa moja wa matajiri wakuu duniyani. Bill gates kama ulikuwa hujuwi ndio mtu binafsi mwenye utajiri kupita watu wote duniya nzima na ushahidi ninao.sasa hebu niwekee ushahidi wa utajiri binafsi wa hiyo familia yako tuone.
Mkuu inaelekea hujui how banks operate.Hivi unajua system nzima ya banking ni usanii.Hivi unajua how banking started.Hivi unajua banks create money out of nothing!Mkuu hivi unajua bank note ni karatasi only worth the value of the paper it is written on!Wewe acha tu mkuu,tumeingizwa mkenge sana.Inauma sana!Ujue tumeingizwa mkenge mkuu hebu soma quote hii ya Henry Ford,yule mwanzilishi mkuu wa magari ya Ford duniani,alisema hivi,"It is well that the people of the nations do not understand our banking and monetary system,for if they did,I believe there would be a revolution before tommorrow morning."
 
Kwa nilivyosoma na kufanya utafiti wangu hizo nchi tatu Iran,North Korea na Cuba. sio kama hawamo kwenye umiliki wa Rothschild,Waburg,Rockefeller wote hao wamo kwenye umiliki wao. Isipokuwa hawapo kwenye mikopo ya IMF hata Libya nae wakati wa Gaddafi walikuwa hawana mkopo na IMF. Lakini Pesa zao zote lazima zichapishwe na World bank ili kuwekwa kwenye samani ya sarafu ya dunia. Bila ya kuchapichwa na World bank pesa yao haiwezi kutumiaka nje ya nchi(kununulia dola$). Mfano kama kununua mafuta ya petrol huwezi kununulia kwa £,€, na Yen lazima ununulie kwa $ ndio hata mfumo wa kuchapisha Pesa ni lazima zichapishwe kwa kupewa ruhusa na world bank. mfano Marekani inachapisha hela yake lakini samani ya $ inapangwa na world bank.
Unajua hizi International Banking Cartels, zina practice kitu ina itwa Usury na wana debt based currency. Ukitaka kuwaudhi hawa kama kiongozi wa nchi piga marufuku hizo systems.
Mfano in German Nazi walianzisha Currency yao ambayo haikua na mwingiliano na bank hizi za Jews. Hata Marais kadhaa wa Marekani walitaka kuintroduce hii debt free currency two of them ended up dead, huku mwingine akiokoka kifo baada ya failed attempted assassination.
Dunia ni nyeusi sana.
 
Japo kuwa sijui chochote lakini hapa umetuletea propaganda first class!

Yaani unadhubutu kusema israel haipo kwenye nchi zilizoendelea kwenye viwanda wala technologia, wakiuchumi?

Mkuu haupo sirious!

Marekani inamilikiwa na Israel!! Technologia karibia zote pale Marekani zinatoka kwa hawa israel!

Israel iwewekwa kimabavu na rockerfelle!
[/Q
Mkuu mimi sijasomea propaganda na mm spo kiimani kama watanzania wengi mlivyo juu ya israel na waarabu ilo ilinakupasa ujue pili mm kaka yang mkubwa ameoa mwisrael na wanaishi tel aviv Dizengoff street na mm nilishawai kwena na kukaa miez 8 so ninachokiongea nakijua vizuri sana kingine uchumi wa israel ni usd 305 billion wakat uchumi wa south africa ni usd 416 B na naigeria ni usd 568 sasa unapotaja nchi yenye uchumi mkubwa duniani basi SA na Nigeria zingekuwa mbele ya israel kingine israel ndo nchi inayoongoza kwa kupokea misaada mpka mwaka 2004 tayali ilikuwa imepokea misaada karibu usd 121 billion na kila mwaka jeshi pekee linapokea usd 3-8 billion kumbuka ni msaada si mkopo

kwa misaada hyo na akili tunazoaminishwa kuwa wanazo naimani leo israel ingekuwa miongoni mwa nchi zenye uchumi mkubwa,viwanda ,technologia katika Top teni ya dunia ingekuwamo lakinj hakuna leo uchumi wa dubai ni mkubwa sana kwa israel pia mm nimekaa nao ufahamu inategemeana na watu bhana si eti watu wa kule wana ufahamu mkubwa vilaza wapo kibao sana tena wana tamasha lao la Tel Aviv pride dah unawza kujiuliza hv yale tunayosoma kwenye vitabu vya dini juu yao awajaongezea chumvi kweli??

kingine nimekwambia mkataba wa siri uliosainiwa kati ya harry truman na hawa watu ndo unagiza mpka leo je ni siri gani kati ya harry na hawa watu pia project ya manhattan projct iliyozaa bomu la nuclear kumbuka hakuna kitu kinachotesa kama mkataba leo cc wenyewe kuna mikataba kibao inatutesa tuna walipa watu kila siku kwa kitu wasichozalisha

kingne katika sehemu muhimu kwa dunia hii ni eneo la middle east pale ndo kitovu cha dunia kilipo kuanzia kiimani hasa imani hizi kuu yani wakristo na muslim na ndo eneo lililozungumzwa sana kwenye vitabu vya dini zote kuu sasa leo mmarekani anaitumia israel kama mshirika mkuu mzungu hawezi kumwamini mwarabu hata siku moja so anaitaji mtu ambae anaweza kumwamini pale ambae ana asili ya wao ambae ni israel nikisema asili mwisrael ni kama mzungu kabisa kimwonekano na matendo tofauti na waarabu pia tunatakiwa kujua nusu ya ernegy inayoendesha dunia inatoka pale black gold (mafuta)
 
Rockfeller sio alikua..mpaka leo wapo..
Na hata Wikipedia wanasema hawa watu hawawekagi utajiri wao hadharan..
Mkuu history ya John Rockefeller ipo wazi wala haijafichwa na biashara alizokuwa akifanya zipo wazi na hata mpaka leo vizazi vyake nakubali vipo na kila mtu anajuwa wanafanya nini.kusema kuwa utajiri wao unafichwa hiyo ni conspiracy theory. Sina ushahidi na hilo na hata wewe nina uhakika huna ushahidi wa hilo.
 
Basi unajiona mjanja mwenyewe kuisoma Google siyo.
Mkuu nondo zako umefata ughaibuni? Ulihaidi utakuja nazo na mikwara mingi lakini bado kimya. Mimi binafsi nahitaji nondo zako zinaweza kuniongezea nisichokijua ila nashauri kama kuna kitu kipya
Ungekuwa umeisoma historia usingekuwa na mawazo ya kijinga kiasi hiki. Nimesoma historia vizuri sana hasa European na American kuanzia British merchants mpaka american bourgeoisie ninawajuwa walionzisha viwanda na mabenki kuanzia ulaya mpaka marekani. Mnawalisha vijana matango pori.
Mkuu nondo zako umefata ughaibuni? Ulihaidi utakuja nazo na mikwara mingi lakini bado kimya. Mimi binafsi nahitaji nondo zako zinaweza kuniongezea nisichokijua ila nashauri kama kuna kitu kipya kwako na wewe soma upate kuongeza kitu kwa kile ulicho nacho.
 
Rothschild sio wayahudi , ila ni wa Georgia historical ila wamejibadili na kuwa kama waisraeli pia kuanzisha jamii iitwayo Ashkenazi Jews , ambayo wameitumia miaka gedegede na kufanya yao ila kiuhalsia sio waisrael ni historia ndefu ila inaanzia kwa baba yao aliyeitwa Bauer aliyejibadili jina na kujiita Bauer Rothschild ,

Kiufupi Rothschild family wameshaikamata duniani tunachosubiri ni NWO
Mkuu Rothchild ni wayahudi na ndio walionunua ardhi ya kwanza kwa ajili ya Israel mpya kutoka kwa wapalestina ili kuanza kurudisha Israel ya sasa.
Labda nikueleweshe kidogo baada ya Israel kusambaratika ardhi yao sehemu kubwa ilikaliwa na wapalestina na waarabu wa jamii nyingine. Na ili kuanza kulijenga tena taifa la Israel ilibidi kwanza waanze kununua ardhi kwa wakazi wa maeneo yale.
Na Rothchild ndio walianzisha vuguvugu la wayahudi kurudi kwao na wakaanza kununua ardhi ili kuanza kuijenga Israel mpya.
Rothchild walifanikiwa kwa sababu mtandao mkubwa wa wafanyabiashara wa kiyahudi walikuwa wamewapa mitaji wenyewe ikiwa ni pamoja na rocker feller family ambayo walikuwa wanamiliki kampuni kubwa ya biashara ya mafuta huko USA iliyoitwa standard oil.
 
Mkuu mimi sijasomea propaganda na mm spo kiimani kama watanzania wengi mlivyo juu ya israel na waarabu ilo ilinakupasa ujue pili mm kaka yang mkubwa ameoa mwisrael na wanaishi tel aviv Dizengoff street na mm nilishawai kwena na kukaa miez 8 so ninachokiongea nakijua vizuri sana kingine uchumi wa israel ni usd 305 billion wakat uchumi wa south africa ni usd 416 B na naigeria ni usd 568 sasa unapotaja nchi yenye uchumi mkubwa duniani basi SA na Nigeria zingekuwa mbele ya israel kingine israel ndo nchi inayoongoza kwa kupokea misaada mpka mwaka 2004 tayali ilikuwa imepokea misaada karibu usd 121 billion na kila mwaka jeshi pekee linapokea usd 3-8 billion kumbuka ni msaada si mkopo

kwa misaada hyo na akili tunazoaminishwa kuwa wanazo naimani leo israel ingekuwa miongoni mwa nchi zenye uchumi mkubwa,viwanda ,technologia katika Top teni ya dunia ingekuwamo lakinj hakuna leo uchumi wa dubai ni mkubwa sana kwa israel pia mm nimekaa nao ufahamu inategemeana na watu bhana si eti watu wa kule wana ufahamu mkubwa ****** wapo kibao sana tena wana tamasha lao la Tel Aviv pride dah unawza kujiuliza hv yale tunayosoma kwenye vitabu vya dini juu yao awajaongezea chumvi kweli??

kingine nimekwambia mkataba wa siri uliosainiwa kati ya harry truman na hawa watu ndo unagiza mpka leo je ni siri gani kati ya harry na hawa watu pia project ya manhattan projct iliyozaa bomu la nuclear kumbuka hakuna kitu kinachotesa kama mkataba leo cc wenyewe kuna mikataba kibao inatutesa tuna walipa watu kila siku kwa kitu wasichozalisha

kingne katika sehemu muhimu kwa dunia hii ni eneo la middle east pale ndo kitovu cha dunia kilipo kuanzia kiimani hasa imani hizi kuu yani wakristo na muslim na ndo eneo lililozungumzwa sana kwenye vitabu vya dini zote kuu sasa leo mmarekani anaitumia israel kama mshirika mkuu mzungu hawezi kumwamini mwarabu hata siku moja so anaitaji mtu ambae anaweza kumwamini pale ambae ana asili ya wao ambae ni israel nikisema asili mwisrael ni kama mzungu kabisa kimwonekano na matendo tofauti na waarabu pia tunatakiwa kujua nusu ya ernegy inayoendesha dunia inatoka pale black gold (mafuta)
Well spoken bro na naunga mkono ulicho kisema....
kuna kipindi rafiki yangu niliwahi kumweleza kua Waislael ni overrated. Akanibishia sana ikabidi nitumie kitabu chake cha Imani kumwelimisha.
Hawa watu by nature ni wafugaji na hawana akili kivile hata muasisi wao Jacob(Israel) kitabu kinatueleza alikua mfugaji na kuna mahara wamegusia taaluma ya ushonaji.
Wanaposema wamebarikiwa siamini ni in terms of akili. Uwezo wao ni mdogo sana ukilinganisha na mataifa mengine ndio maana kuna mataifa mengi yalifanya discoveries kibao kabla yao.
Watu wa mataifa kama Misri, Persia, Greece, Babylon walikua by far intelligent na wamefanya gunduzi nyingi sana muhimu. From medicine, machinery to weapons.
The question is why all that hype!?!?
Binafsi nadhani kwasababu wao ndio wana control media kubwa so wanajaribu kutulisha mambo yasiyo na ukweli. Hata discoveries zao ndio zimekua zikitangazwa sana hivyo zinakua masikioni mwa watu mara nyingi.
 
Mkuu kukaa kama mgeni huwezi kujua details tunazoongea.Haya mambo hayaongelewi mtaani.Hata Ashkenzi Jews ambao ndio wenye upuuzi huu wengine wa lower ranks hawajui mambo haya!Sasa sijui shemeji yako kama ni Ashkenazi Jew kama akina Rothschild au a True Jew.Lakini vyovyote vile,hata kama anajua which I doubt,hawezi kukuambia!
 
nankumene
Makampuni yote yanamilikiwa waisrael

-Barbie
- Intel - Motorola
mkuu nafaham wayahud wanamilik makampun makubwa sana lkin nmekupa mfano mdogo tu wa gross domestic product ya israel haifikii hata ile ya nigeria utasemaje nchii hii imeendelea kiuchumi na kiviwanda?
 
Well spoken bro na naunga mkono ulicho kisema....
kuna kipindi rafiki yangu niliwahi kumweleza kua Waislael ni overrated. Akanibishia sana ikabidi nitumie kitabu chake cha Imani kumwelimisha.
Hawa watu by nature ni wafugaji na hawana akili kivile hata muasisi wao Jacob(Israel) kitabu kinatueleza alikua mfugaji na kuna mahara wamegusia taaluma ya ushonaji.
Wanaposema wamebarikiwa siamini ni in terms of akili. Uwezo wao ni mdogo sana ukilinganisha na mataifa mengine ndio maana kuna mataifa mengi yalifanya discoveries kibao kabla yao.
Watu wa mataifa kama Misri, Persia, Greece, Babylon walikua by far intelligent na wamefanya gunduzi nyingi sana muhimu. From medicine, machinery to weapons.
The question is why all that hype!?!?
Binafsi nadhani kwasababu wao ndio wana control media kubwa so wanajaribu kutulisha mambo yasiyo na ukweli. Hata discoveries zao ndio zimekua zikitangazwa sana hivyo zinakua masikioni mwa watu mara nyingi.
Mkuu wayahudi sio kama unavyowafikia hawa jamaa wanajua mbinu za kutawala dunia.
Labda nikupe mfano mdogo tu nenda ukasome historia ya wanafunzi wa yesu kwa kipindi kile almost wote walikufa wakiwa mataifa ya mbali. Sasa kipindi kile cha yesu hawa wayahudi walishaanza kuzunguka dunia wakati hata wazungu wenyewe wanatawaliwa.
 
Mkuu kukaa kama mgeni huwezi kujua details tunazoongea.Haya mambo hayaongelewi mtaani.Hata Ashkenzi Jews ambao ndio wenye upuuzi huu wengine wa lower ranks hawajui mambo haya!Sasa sijui shemeji yako kama ni Ashkenazi Jew kama akina Rothschild au a True Jew.Lakini vyovyote vile,hata kama anajua which I doubt,hawezi kukuambia!
Konsciouz Hakuna Classified information ambazo nimezizngumzia hapa maelezo yangu yamejikita katika nyanja ambayo raia wa kawaida unaweza kuijua kuhusu nchi yako pia wenzetu wanafatilia sana nchi zao si kama cc ambao hatujuh hata deni la taifa limefika sh ngapi au matumizi ya kodi unayokatwa mm nimezungumzia uchumi wa israel kulinganisha na nchi zingne hata za africa SA na
Nigeria in GDP kitu ambacho si Classified pili israel kutoka mwaka 1976-2004 jumla la usd 121 billions walikuwa wamepokea kama msaada si mkopo na kwa mwaka jesh linapokea 3-8 B kitu ambacho si Classified

kingne dunia nzima hasa watanzania tuna imanii wasrael ni watu wenye iQ kubwa sana uongo huu tumedumu nao kwa mda mrefu mpka tukajikuta tumeingia kwenye ushabiki wa kiimanj kat ya israel na waarabu tumekuwa tunatetea au kusifia mpka vtu vngne vnachekesha mm nimekaa na hawa watu ni watu wa kawaida sana wapo vilaza na wenye akili ni kama hapa tu na kama wangekuwa na akili na ufahamu kama ambao tunaambiwa leo israel ingekuwa ni moja ya nchi yenye uchumi mkubwa ,viwanda,technology na hata katka nchi zenye watu wake wenye iQ kubwa nchi zinazoongoza ni nchi zenye jamii ya mongolian ya asian jamii ya wajapani ,korea,sing malay yani zile nchi zenye jamii hii

leo ukinambia Germany na japani hawa kweli ufahamu wao ni mkubwa sana na US katumia sana wajerumani baada ya vita vya pil vya dunia katk maswala ya kisanyasi na TECH lakini kila mwenye akili utaambiwa ana asili ya israel na kutumia propaganda za vyomb vyao nya habari wameweza kuwafool dunia lakini ujerumani na japani wamepigwa na dunia lakini leo angalia maendeleo yao kiuchumi,,tech ,viwanda
 
Mkuu elaborate hii kitu, maana haimake sense.
Nilikuwa nataka nikuambie wayahudi walishaanza kutembea dunia yote miaka ile nimekutolea mfano wa wanafunzi wa yesu kwa sababu ndio ambao kutembea kwao duniani kunajulikana kwa maandishi. Lakini point ni kuwa wayahudi walianza muda mrefu kutembea duniani kufanya biashara
 
Back
Top Bottom