Hivi ni mimi tu au dish limeyumba

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,022
Reaction score
28,409
Haiwezekani sasa nimemeshatumia pesa nyingi kuahkikisha hili dishi linatulia zamani nilijua ni kwasababu ya hali ya hesa ila kila jioni sioni chochote sina hata raha sasa nimeita mafundi wengi tu na nyie mnaotumia azam mnatatizo hili la kukatika kwa matangazo na kusua sua

USSR
 
Ni kweli diishi limeyumba,

Kumpa mtu kesi ya uhaini kwa kusema " tutakinukisha",

Huko ni kuperfm chini ya kiwango!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…