Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Binafsi condom sizikubali sana na Mood ya game huwa inakata kama demu ataning'ang'aniza nitumie hiyo kitu. Kiufupi me so mtumiaji wa hayo madude, Ni mimi tu ambae sizikubali au wwngine mpo??
Kwan umeoa bro
Hujakutana na situation ambayo inakufanya uzikubali
mko wengi tu hata ARV wako wengi tu wenzio.
Binafsi condom sizikubali sana na Mood ya game huwa inakata kama demu ataning'ang'aniza nitumie hiyo kitu. Kiufupi me so mtumiaji wa hayo madude, Ni mimi tu ambae sizikubali au wwngine mpo??
Sijui hata jinsi ya kuzifunguaBinafsi condom sizikubali sana na Mood ya game huwa inakata kama demu ataning'ang'aniza nitumie hiyo kitu. Kiufupi me so mtumiaji wa hayo madude, Ni mimi tu ambae sizikubali au wwngine mpo??
Kwahiyo ungekuwa sio mnywaji wa beer ungekuwa unapiga kavu?mi kavu kavu siendi bila sababu..
labda kama nataka kuzaa na wewe na nijue ni mzm.. nakupima hata kwa ujanja ujanja tu... ila nile kavu eti kisa nina nyegeeez ... hapana kwa kweli..
mimi napenda sana bia.. sasa nawaza nipate umeme nianze kunywa Arv na masharti niache bia.. hapana kwa kweli
Kwahiyo ungekuwa sio mnywaji wa beer ungekuwa unapiga kavu?
Usipokubali Condom ipo siku utakuja kukubali ARVs.
Kondom ni kwa ajili ya washenzi wa tabia... Wasioridhika na mmoja na wasio waaminifu kwenye mahusiano yaoNakukumbusha: Ukimwi Unaua
Kondom ni kwa ajili ya washenzi wa tabia... Wasioridhika na mmoja na wasio waaminifu kwenye mahusiano yao
Kondom ni kwa ajili ya washenzi wa tabia... Wasioridhika na mmoja na wasio waaminifu kwenye mahusiano yao