[emoji23][emoji23][emoji23]pole mkuu usije changanyikiwa tuMkuu nateseka sana
Jamani ninavyoendelea niweza kupoteza maisha. Ktk pitapita zangu nimedumbukia mahala ambapo nimezama mzima mzima mpaka kutoka nashindwa. Kuna binti kweli nampenda jmn. Ikipita cku sijaongea naye naumia roha mpaka siwezi kuelezea.
Nisaidieni mbinu za kuachana naye make nitakuja kufa kwajili yake. Siyo kwamba hakuna wengine ila hata nikiwa na wengine bado tu namkumbuka yeye. Au kaniwekea rimbwata?
Hatujaacha ila bas tu
Ninakuelewa mkuu katika hilo.Jamani ninavyoendelea niweza kupoteza maisha. Ktk pitapita zangu nimedumbukia mahala ambapo nimezama mzima mzima mpaka kutoka nashindwa. Kuna binti kweli nampenda jmn. Ikipita cku sijaongea naye naumia roha mpaka siwezi kuelezea.