FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,867
- 5,064
Mimi si Mtaalamu wa uchambuzi ila kama Shabiki ningetamani kusikia ufafanuzi wa kitaalamu kwa mechi ambazo tunaweza kusema hapa ufundi wa Fadlu umeonekana?.
Hivi ni nini kikomo cha muda wa kujenga timu?maana isiwe tunaenda mpaka miaka miwili tunasema bado tunajenga timu.Tuwe wakweli kama Simba tungepata kombe msimu huu basi ingekuwa ni fluku,na kinyume chake kama Yanga wangekosa basi ingeshangaza wengi tukiwemo hata sisi Mashabiki wa Simba.
Mechi nyingi sana Simba ime struggle,mechi kama ya Mashujaa kule Kigoma,mechi na Coast,mechi na Fountain,Singida tia maji tia maji mpaka mechi iliyofuata akatafutwa Refa wa haki na ukweli ukadhihirika,vipi kama mechi zote zikasimamiwa kwa utaratibu huo?.
Walau Shirikisho kidogo tena ni zile mechi za nyumbani.Tusipokuwa makini basi huenda Singida na Azam wakachukua nafasi ya Simba na tukawa tunapigania nafasi ya tatu au nne.