Hivi ni lazima smartphone isiwe na physical buttons?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,711
Reaction score
104,865
Habari.
Tokea swala la kila kampuni kuanza kutengeneza wanazoziita smartphone (kwa upeo wangu mdogo ningesema mwanzilishi akiwa apple, ktk iphone 2007) ambazo nyingi zao ni touch screen with few or no physical buttons, je kuna uwezekano hizi simu za buttons zikaja potea kabisa? Au possibility ya kampuni ntingine.zitazikomboa?
Nokia na makampuni mengine wamejaribu kumix touchscreen na physical buttons but naona kama.wame-fail na wakaamua kulalia kwenye Touchscreen moja kwa moja.
Swali jengine, ili simu iitwe smartphone ni lazima iwe touchscreen au ata zile blackberry zisizo touch ni smartphone?
Thnx.
 
1. apple sio waanzilishi wa touch screen wala smart phone
2. sio lazima isiwe na physical button kuwa smart.
3. kupotea au kutopotea inategemea na soko likoje, ila kwa mtazamo wangu hazitatoweka kabisa, labda zitakuwa na touch na button, (zinaweza kuitwa classic)
 
Swali la Kwanza: Hivi ni lazima smartphone isiwe na physical buttons?

  • Kwa mantiki ya maana ya "smartphone" siyo lazima smartphone isiwe na physical buttons. Hapa wapaswa kufahamu nini maana ya smartphone.
    A smartphone, or smart phone, is a mobile phone built on a mobile operating system, with more advanced computing capability and connectivity than a feature phone. The first smartphones combined the functions of a personal digital assistant (PDA) with a mobile phone. Later models added the functionality of portable media players, low-end compact digital cameras, pocket video cameras, and GPS navigation units to form one multi-use device. Many modern smartphones also include high-resolution touchscreens and web browsers that display standard web pages as well as mobile-optimized sites. Source

Swali la Pili: Je kuna uwezekano hizi simu za buttons zikaja potea kabisa?
  • Hapana hakuna uwezekano wa simu za buttons kuja potea kabisa. Mfano We angalia hivi karibuni Nokia 105 imeingia sokoni,Hivyo simu za buttons zitaendelea kutoka ili kukidhi mahitaji ya soko.
nikon-105-2.jpg

​
Swali la tatu: ili simu iitwe smartphone ni lazima iwe touchscreen au ata zile blackberry zisizo touch ni smartphone?

  • Ili simu iitwe smartphone Si lazima iwe touchscreen ndio hata zile blackberry zisizo touch ni smartphone
​
 
1. apple sio waanzilishi wa touch screen wala smart phone
2. sio lazima isiwe na physical button kuwa smart.
3. kupotea au kutopotea inategemea na soko likoje, ila kwa mtazamo wangu hazitatoweka kabisa, labda zitakuwa na touch na button, (zinaweza kuitwa classic)

Mkuu umeniwahi kidogo, Naona majibu yetu yanafanana kiasi
 
Swali la Kwanza: Hivi ni lazima smartphone isiwe na physical buttons?

  • Kwa mantiki ya maana ya "smartphone" siyo lazima smartphone isiwe na physical buttons. Hapa wapaswa kufahamu nini maana ya smartphone.

Swali la Pili: Je kuna uwezekano hizi simu za buttons zikaja potea kabisa?
  • Hapana hakuna uwezekano wa simu za buttons kuja potea kabisa. Mfano We angalia hivi karibuni Nokia 105 imeingia sokoni,Hivyo simu za buttons zitaendelea kutoka ili kukidhi mahitaji ya soko.
Swali la tatu: ili simu iitwe smartphone ni lazima iwe touchscreen au ata zile blackberry zisizo touch ni smartphone?

  • Ili simu iitwe smartphone Si lazima iwe touchscreen ndio hata zile blackberry zisizo touch ni smartphone
​

Mkuu umemaliza nafikiri kaelewa,,watakaofuatia ni kuleta ubishia.
 
Habari.
Tokea swala la kila kampuni kuanza kutengeneza wanazoziita smartphone (kwa upeo wangu mdogo ningesema mwanzilishi akiwa apple, ktk iphone 2007) ambazo nyingi zao ni touch screen with few or no physical buttons, je kuna uwezekano hizi simu za buttons zikaja potea kabisa? Au possibility ya kampuni ntingine.zitazikomboa?
Nokia na makampuni mengine wamejaribu kumix touchscreen na physical buttons but naona kama.wame-fail na wakaamua kulalia kwenye Touchscreen moja kwa moja.
Swali jengine, ili simu iitwe smartphone ni lazima iwe touchscreen au ata zile blackberry zisizo touch ni smartphone?
Thnx.

Nani Kakwambia Apple Mwanzilishi Wa Smart Phone????

Kwanza Kwa Upande Wangu Ile Ilikua Haina Viwango Ndo Maana Ikashindwa Specs Na Nokia N73 Ambayo Ilikua ni Toleo La 2006 Na Haikuleta Upinzani Wakutosha....
 
mkuu iphone anaangukia kundi la wenye few physical button so far ni n9 tu ndo buttonless
 
.. je kuna uwezekano hizi simu za buttons zikaja potea kabisa? ..
Nimependa hili swali.

Mimi nafikiri inategemea unataka kuproject kwa muda gani. Kama tunazungumzia miaka 100 au zaidi ijayo, napata hisia pengine simu hazitakuwa tena zinatumika kwa mawasiliano. Kila kitu kinaweza kuwa built in ndani ya mwili wako. Unaita tu jina (inaweza kuwa hakuna majina tuliyonayo leo bali ni unique namba au code) la mtu unayetaka kuongea nae na papo hapo unaweza "kumuona" (kama ilivyo video call ya sasa, lakini wakati huo inakuwa pengine unahitaji "kufumba" macho tu ili uweze kuona!) na kuongea nae!

Au hata pengine kunaweza kuwa na tehnologia inayowezesha "mind reading" ya asilimia mia moja (hatuhitaji kuongea wala kuandika ili mimi nijue unafikiria nini au unataka nini and vice versa). Ni kama vile devices zinavoweza kuwasiliana kwa bluetooth au wireless technologies nyingine (you only need to request/allow access, basi!)
 
kusadikika mkuu!
 
Smartphone ya Kwanza ilikuwa Sony Ericsson P800 ya mwaka 2002

mkuu hii simu ilikua ni simu ya kwanza ya sony kutumia symbian na si smartphone ya kwanza. kuna simu kama kyocera 6085, ndo inaambiwa ni ya kwanza. japo skubaliani na hii list seems kama wamarekani wanachange historia kuonekana wao wana mchango kwenye hili
 
Hv Now Nlikua Na Search Vtu Flan Google Nmekutana Na Hii Tizen Os.. ni Open Source Pia Na Ni Linux Based Hv Kuna Anaeifaham Maana Inaonekana n ya tangu 2012 mwanzon Ila Sikuwahi Kuiskia Kabla ya Leo
 
mkuu nurbert though webos(ya hp) imekufa imeacha legacy kubwa. hiyo tizen japo ina kernel ya linux ila wao watabase sana kwenye web programing yani apps za html5. pia wanasema apps za android zitakubali japo hio sio primary objective.

tizen ni muunganiko wa samsung na intel, na samsung alikua anafanya sitaki mbichi hizi baada ya kuikosa meego.

kama tizen itahit, firefox os ikahit na lg akairudisha webos huku google akiimarisha chrome os basi huenda kusiwe na windows phone wala android wala ios.

maana hizi kuna posibility developer akatengeneza app moja ikatumika operating system tofauti sababu zote ni za html5.

itakua kama enzi za zamani app moja ya java inaingia samsung, nokia, sony-ericson na wengineo.
 
Mkuu labda generation ijayo lakini sio sasa hivi auoni hata samsung wametengeneza simu ya ku flip yenye quadcore
Tena ni smartphone.Hata sharp pia simu izi wanazo.

Samsung Hennessy clamshell Android smartphone now official - GSMArena.com news

bado kuna watu wanapenda classic design na wakiendelea kuwepo always simu zenye button zitakuwepo.

Hyo Smu simm 1 itakua Cdma Na Sim 2 itakua GSM!! ila Kibongo bonfo mitandao Ya Cdma Haina Wateja So Itakua Kama Ya Laini 1 Tt!!
 
Matatizo tuliyo nayo wengi wetu ni kutumia intaneti kwa mambo ya udaku ,kusoma barua pepe na kusoma blogu za akina Sinta ni wavivu mno wa kujaribu kutumia mtandao kuongozea maarifa ,haya maswali mengine yalitakiwa kwenda kwenye search engine kama google ,bing na ukaandika neno smartphone hapo utapata majibu ya maswali yote hayo hata ukajua smartphone ya kwanza,wagunduzi n.k.Kompyuta na intaneti inatmiwa tu robo ya matumizi yake na tulio wengi,ni sawa na mtu kanunua Fuso la kubebea mzigo ajabu anabeba gunia moja tu la mapeasi kutoka Lushoto hadi Dar na anarudi na balo moja la mtumba kutoka Dar hadi Lushoto
 
Hyo Smu simm 1 itakua Cdma Na Sim 2 itakua GSM!! ila Kibongo bonfo mitandao Ya Cdma Haina Wateja So Itakua Kama Ya Laini 1 Tt!!
Si laini moja tigo/voda/airtel na line 2 unaweka sasatel au ttcl
 
Back
Top Bottom