Hivi ni lazima smartphone isiwe na physical buttons?

Hivi ni lazima smartphone isiwe na physical buttons?

Smartphone ya Kwanza ilikuwa Sony Ericsson P800 ya mwaka 2002

Kaka smartphone toka miaka ya tisini zipo, tena full touch!
IBM Simon.jpg

Hii ni IBM Simon, ilianza kuuzwa mwaka 1992!!! Yakaja ma Kyocera na wadau wengine.
 
Si laini moja tigo/voda/airtel na line 2 unaweka sasatel au ttcl

asa mm nmweke ttcl na sasatel? Labda zantel..... Sasael kwanza kwa sis tusiokaa Dsm ni kasheshe na ttcl ndo kama imepoteza dira....(nlikua nna sim card yao 2008) mayb zantel kias
 
zipo ambazo ni ''touch-screen'' lakini sio smartphone....
 
Back
Top Bottom