Hivi ni kweli?

Nadhani ni uoga wa sindano tu hapo.

Huko nyuma sikuwa muoga wa hizi kitu ila hapa kati nimechezea misindano na madrip ya kutosha nadhani uoga nilio nao sasa ni kama huyo Jokate na nisipojikaza sana naeza nipige ukunga kabisa. πŸ˜€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…