Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,647 Reaction score 6,481 Mar 17, 2021 #1 Kama ni kweli basi kuna watu humu Duniani wanakula raha aisee yani kuanzia Rais wa 33 bibi anakula raha tu yaani. View attachment 1728230
Kama ni kweli basi kuna watu humu Duniani wanakula raha aisee yani kuanzia Rais wa 33 bibi anakula raha tu yaani. View attachment 1728230
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,385 Reaction score 51,332 Mar 17, 2021 #2 Seremonio figa.
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 13,481 Reaction score 26,392 Mar 17, 2021 #3 Kwa hiyo ulitaka afe, au!??? Sijaelewa unachomaanisha. Unajua Mr Mzungu wenu sasa kawafundisheni kuwatakia wenzenu mauti now mnaufyata ubaya wake kama sijui nini tu aiseee!???
Kwa hiyo ulitaka afe, au!??? Sijaelewa unachomaanisha. Unajua Mr Mzungu wenu sasa kawafundisheni kuwatakia wenzenu mauti now mnaufyata ubaya wake kama sijui nini tu aiseee!???