Hivi ni kweli tunakiezi na kukithamini kiswahili kama lugha yetu ya taifa?

mukama talemwa

Senior Member
Jun 14, 2011
160
28
Nimuda sasa tumekuwa tuna kalilishwa kuwa lugha ya Taifa ni kiswahili,lakini kitu cha kusikitisha ni kwamba serikali yenyewe imeshindwa kukitumia kiswahili kama lugha yake ya wasiliano kati yake na wananchi inaowaongoza.
Fuatilia matangazo ya tenda za serikali zote yanatolewa kwa lugha ya kiingereza,matangazo ya kazi,Notification ya polisi,matibabu hospitalini,Hukumu mahakamani,usajili wa magari ya serikali km PT.
Mashirika ya hifadhi za jamii yote ya majina ya Kiingereza,Kituo cha kurushia matangazo cha taifa TBC,Mabenki,barabara ,mitaa yetu.Saa hapo naomba mawazo yenu wadau,kweli KISWAHILI ni lugha ya taifa?
 
Back
Top Bottom