Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,821
Dah! Kweli?Miaka 63 ya uhuru. Hapa wanasoma watoto wa watanzania.
Congo (drc) mpaka leo kuna vita ingawa walipata uhuru 1960😎Miaka 63 ya uhuru. Hapa wanasoma watoto wa watanzania.
Nchi gani ambayo Changamoto zimeisha?Miaka 63 ya uhuru. Hapa wanasoma watoto wa watanzania.
Ukiona miaululu ya mashangingi yao utajua ni kwanini wanatunia polisi. Hawa na wezi na hawana hata chembe ya utu.Miaka 63 ya uhuru. Hapa wanasoma watoto wa watanzania.