Hivi ni kweli? Sababu tu Mimi ni Mwanamke? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli? Sababu tu Mimi ni Mwanamke?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kongosho, Oct 3, 2012.

 1. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160

  Nimeyapitia haya maneno wee, nikajiuliza.
  Hini ni kweli wanawake wanahukumiwa zaidi kwa makosa yale yale wanayofanyawanamme sababu tu wao ni wanawake?


  I can see you’redisappointed
  By the way youlook at me
  And I’m sorry thatI’m not
  The woman youthought I’d be

  Yes, I’ve made my mistakes

  But listen andunderstand

  My mistakes are noworse than yours
  Just because I’m awoman


  So when you look at me

  Don’t feel sorryfor yourself
  Just think of allthe shame
  You might havebrought somebody else

  Just let me tell you this

  Then we’ll bothknow where we stand

  My mistakes are noworse than yours

  Just because I’m awoman

  Now a man willtake a good girl
  And he’ll ruin herreputation
  But when he wantsto marry
  Well, that’s adifferent situation

  He’ll just walk off and leave her

  To do the best shecan
  While he looks foran angel
  To wear hiswedding band

  Now I know that I’m no angel

  If that’s what youthought you’d found
  I was just thevictim of
  A man that let medown

  Yes, I’ve made my mistakes

  But listen andunderstand

  My mistakes are noworse than yours
  Just because I’m awoman

  No, my mistakes are no worse than yours

  Just because I’m a woman   
 2. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  fixed.
  you can make or break a home. because of this you get a lot more blame when you mess up. your mistakes have bigger repercussions compared to ours
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mmmh, how?
  Nifafanulie kidogo

   
 4. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ingawa sote (men+women) tunafanya makosa, lakini mara nyingi makosa ya mwanamke yana madhara makubwa zaidi. imagine nyumbani baba akizembea kidogo bado watoto watasoma kama mama akijitutumua ILA mama akizembea mtoto anaweza kujikita kwenye ulevi/mimba etc. wote wamefanya 'uzembe' lakini uzembe wa mama umeleta madhara zaidi nk. pia kuna hulka ya kwamba kazi za mwanamke ni 'rahisi/nyepesi' so ukishindwa au kukosea unaonekana huwezi chochote nk.
   
 5. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  English is sick to me! login-off
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hii hainihusu. My mistakes are entirely my responsibilities, and only i should care. I can make mistakes, pick the lesson and move on to being a better, clever and more experienced being. If you aint there to enjoy and celebrate the new me, should that be my problem? Heck to the no!!!!?
  Adios!
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mmmh, haujawahi hukumiwa zaidi kwa kosa lile lile alofanya mwanamme na watu wanaokuzunguka?

   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Sio kwamba akina baba wanapenda kujiendekeza tu?
  Mbona kuna familia ambazo mume aliachwa mjane na akaweza lea watoto wake na wakakua salama tu?

  Tena alikuwa na watoto wa kile kama watano na wa kiume watatu.

   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kuna panado mfukoni mwako, pata 2 tafadhali

   
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Kongosho pata BIA YA SENETOR BARIIIIDI TOKA SBL, ukiwa kati ya wateja wa mwanzo!!!!! UMEONGEA MANENO KUNTUUUUU! Naomba nihitimishe kwa kusemaaaa HIYO NDIO DAWA YAO!!!!
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,827
  Trophy Points: 280
  Daaah kongosho daah umenena kama nakuona vile unalia mbele ya mumeo! Daah hapa huwa tuna fanya makosa kweli kwani mara nyingi tunaamini kukosea kwetu ni bahati mbaya.
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,827
  Trophy Points: 280
  Daaah nilijua tuu!
   
 13. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  It's not that they blame you since you a woman rather it's because we expect a lot from women..
  Ndiyo maana jambo likifanywa na mwanamke linaleta spark kubwa sana na watu wanashangaa..
  Watafanya ukahaba wote lakini kidole atanyooshewa mwanamke..kwa nini mwanamume aende salama?
  Women you're very powerful na whatever mistakes zikitokea home you bear a lot of risks cuz you are the pumpkin in the homestead..Be proud of this rather being upset!
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  but King'asti have you forgot than men have higher expectation to women? think of what your hubby plus those who are closer to you expect from you.
  hivi hubby wako amewah kukosa kitu ambacho labda kiligusa familia aliyozaliwa? je what was the reputation towards you? myself ilishawah nitokea and what pple said mkewe ndo sababu kwanini asimwambie mumewe. wakasahau kwamba hata mume wangu ni mtu mwenye utash wake.

  hivi umewah kukutana na neno hili" kaka yetu akipotea tutakulaumu wewe" ama umewah kuliskia mwanamke akiambiwa? why so? je ni kwamba wanaume wanategemea mwongozo wa wake zao tu?

  haya je umeshawah kutenda jambo sawa na mumeo halaf kwako likawa baya sana na kwake likawa fair tu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  he heeeeeeeeee, umenikumbusha siku kulikuwa na harusi (ya kiislamu) kwa ndugu wa mume wangu............. yeye kumbe ndo alipangiwa sijui ndo kumuozesha huyo binti sababu baba yake hakuwepo, yeye mjomba ndo alipewa jukumu. mimi sijui jukumu alilopewa, sasa sijui na yeye hakulitaka hilo jukumu, si tukachelewa! wakati ule hakuna simu za mkononi, ilikuwa balaa. ile tunatokea tu nilikutana na macho na maneno eti nimemchelewesha................... lakini yule ndugu yao wala hakulaumiwa kama mimi..................... ni kweli hatukuwa na la maana tulilokuwa tunalifanya..................... na sisi ndo tulikuwa tumeoana tu, hata mtoto hatuna, halafu ni J2, ndo siku yetu ya kujidai halafu watu wanataka tuwahi saa 4, lol
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  gfsonwin na SnowBall

  nadhani mmenifungua macho, kumbe wanamme wana 'expectations' kubwa sana kwa wanawake?

  Mmmmmhh, ngumu lakini.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  rutta daima wanawake tumekuwa watu wa kutupiwa lawama sana na hii ipo tu but siku hizi najua namna ya kujikomboa binafsi huwa nawaambia kabisa am an independent person ambaye nikikosea nakosea kama binadamu na kosa haliubadili utu wangu. na hata kama nimekosea bado nastahili heshima yangu. linapokuwa ni swala la hubby kimsingi huwa nawaambia muulizen muhusika fullstop
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  yaani Kongosho mwanaume yyte yule huwa anategemea zaid kutoka kwa mwanamke hasa mke wake. mara nyingine huzani mke ni malaika. hivi hujawah kumskia mwanaume akisema sikutegemea kama mke wangu angetenda hili?

  ni ngumu kwasababu wanatuwekea mizigo mingo mingi mabegani lakin ndivyo walivyo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kongosho ni kweli kabisa mwanamke anasimama mbele katika malezi na ujenzi wa familia..Majukumu ambayo jamii imempa yanamfanya awe vulnerable na lawama nyingi tu...Japo pia kwa kutumia hii loophole baadhi ya wanaume huwa tunaangushaga lawama bila kujali ni kwa kiwango na sisi tumeplay part yetu..But all in all i still believe that women have a big stake in home development (sijasema house building).though i stand to be corrected..thanks to mwalimu gfsonwin amelieleza vizuri!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  SnowBall msome pacha wako snowhite kwenye signature yake. Kongosho akina mama tunamajukumu makubwa sana ya kaufanya nyumba kuwa mahali pazuri pa kuish na hii hupelekea kuwa ndani ya lawama nyingi zaid.
  but pia kuna wanaume ambao wao hutumia hili kama njia ya kufanya uasi wao. to me mwanaume anayefanya haya namweka katika haya makundi
  1) mvivu wa kufikiri yaani muda wote hutegemea mkewe amuwazishe ampe akili ila kufikiri kama yeye hawez
  2)mbinafsi huyu anajipenda zaid yeye na huwaza katika kila jambo atafaidika nini zaid kuliko the rest of the family. hawa hawajali ugonjwa wala uchovu wa mwanamke.
  3) mchoyo wengi wa wanaume wa aina hii ni wachoyo yaani ni wanyimi sana kwenye kila kitu na ndio maana hawaoni shaka kama wake zao watadhalilaika kwa makosa yao.
  4) mdhalilishaji huyu haoni hurum ama hana soni kwamba kosa hili litamdhalilisha mke wangu. na huwa ni wepesi hata wa kusikiliza watu wakicomplain kuhusu mke na kisha kwenda kumsema mkewe sana juu ya lile alilosikia.

  all its all wanaume wa aina hii kiukweli wanatia uvivu sana kuish nao.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...