hivi ni kweli njia salama iliyobaki ya uzazi ni kutumia tarehe?

COSTOMER

Member
Feb 24, 2012
70
9
na unahesabu vipi maana hata wanaotumia hizo tarehe bado wanazitatiza.....tushirikiane kwa hilo tafadhali kwa manufaa.
 
Ukweli ni kwamba kutumia tarehe ndo njia salama zaidi ya uzazi, baada ya condom kwa sababu haina madhara kiafya, lakini ni njia ambayo ndo least reliable kati ya njia zote. Kwa kawaida mwanamke mwenye cycle ya 28days yai hupevuka siku ya 13 au 14 au 15,na mbegu za kiume zina uwezo wa kuishi kwenye njia ya mwanamke mostly for 36-48hrs wakati yai la mwanamke linaishi for about 72hrs. Hivyo basi kwa mantiki hiyo siku za danger ni kuanzia three days before yai kupevuka mpaka three days baada ya yai kupevuka(take note that ovulation is likely to occur from the 13th to 15th day-so from the 10th day mpaka 18th ndo danger). But kwa wasichana im their early 20s ovulation ina vary sana mkuu,inaweza rudi nyuma mpaka siku ya 11 in some cases, thats why its unreliable na pia inataka discipline sana, mimi huwa narecommend condom over calendar
 
Back
Top Bottom