hivi ni kweli njia salama iliyobaki ya uzazi ni kutumia tarehe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi ni kweli njia salama iliyobaki ya uzazi ni kutumia tarehe?

Discussion in 'JF Doctor' started by COSTOMER, Mar 3, 2012.

 1. C

  COSTOMER Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  na unahesabu vipi maana hata wanaotumia hizo tarehe bado wanazitatiza.....tushirikiane kwa hilo tafadhali kwa manufaa.
   
 2. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Fuatilia kuna uzi humu tulishawahi jadili .GOOD LUCK
   
 3. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Ukweli ni kwamba kutumia tarehe ndo njia salama zaidi ya uzazi, baada ya condom kwa sababu haina madhara kiafya, lakini ni njia ambayo ndo least reliable kati ya njia zote. Kwa kawaida mwanamke mwenye cycle ya 28days yai hupevuka siku ya 13 au 14 au 15,na mbegu za kiume zina uwezo wa kuishi kwenye njia ya mwanamke mostly for 36-48hrs wakati yai la mwanamke linaishi for about 72hrs. Hivyo basi kwa mantiki hiyo siku za danger ni kuanzia three days before yai kupevuka mpaka three days baada ya yai kupevuka(take note that ovulation is likely to occur from the 13th to 15th day-so from the 10th day mpaka 18th ndo danger). But kwa wasichana im their early 20s ovulation ina vary sana mkuu,inaweza rudi nyuma mpaka siku ya 11 in some cases, thats why its unreliable na pia inataka discipline sana, mimi huwa narecommend condom over calendar
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuacha ngono kabisa hadi ukiwa tayari kuzaa ndiyo best.
   
Loading...