PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,995
- 2,017
Habari za jioni wanajamvi,
Wakati nakuja kufungua uzi huu nje hapo nimeona kwa leo kufumania/fumaniwa ndo mpango wa siku....Si hukumu mtu ila naona kama watu wengine wanaona kama haya mambo ni rahisi.
Anyway, kama nilivyokuja hapa kusema yaliyonikuta, naomba pia kutoa angalizo kwa wengine labda yalishakukuta haya ama unapalilia mazingira ya kuharibu ndoa yako.
Wiki iliyopita nilijikuta kwenye compromising situation nyumbani na mke wangu kutokana na issue ya cheating niliyoisema kwenye uzi mmoja nyuma na kutokana na wife kuwa mjamzito ilibidi nimuambie tu kuwa mi sina uhakika na uzima wangu kutokana na unsafe sex.
Dah, kwa kweli usiombe ukutane na consequences za kukiri kitu kama hicho kwa mtu anayekuamini na kukutegemea kwenye mambo mengi. Yani pamoja na kulala vyumba tofauti, 'every single night!', 'every single night!' silali nikaridhika kwa kusikia akilia na kutoweza hata kuaa naye dakika chache. Inabidi kuwa busy kazini hadi usiku mpaka kufika home ni saa5.
Ijumaa akaenda kwao, na vile nahisi hatuko kwenye term nzuri na wazazi wake nikawa kwenye wakati mgumu kufanya mpango wa usuluhishi. Cha ajabu jumapili akarudi mwenyewe na nnavyohisi hajasema kitu kuhusu kilichotokea. Sasa hivi tuko kawaida na hata tunalala pamoja(just sleep).
Cha kushtua ni kwamba ni mkimya sana na tukiwa tumelala anaweza kushtuka ghafla toka usingizini hata mara tatu kwa usiku mmoja! Nimeenda kwa rafiki yangu mmoja ni daktari akaniambia ni kawaida kuwa na stress mambo hayo yakitokea ila kwa hali yake hashauriwi. Ikabidi tuende wote hospital jana akapimwa na yuko sawa ila sasa nimepewa jukumu kubwa la kumek sure anachangamka na asiwe na stress.
Kiukweli nimejaribu kila kitu mpaka sasa hivi nikimuuliza kitu ananijibu tu nilichomuuliza haongezi chochote. Hivi ni kweli ni depression tu ama nimrudishe tena hospitali, kweli bora amind tu tuwe na vikao vya usuluhishi coz kubeba mzigo wa guilt ni kazi na mimi siwezi kwenda kujishtaki mwenyewe. Naombeni msaada wa mawazo tafadhali!