desmond3076
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 278
- 182
ndugu wanajamvi,
Ni takribani tangu serikali imalize bajet na kuingia mwaka wa fedha mpya ni miezi miwili sasa, huu mtandao wa uhasibu uitwao Affars umekua ukikarabatiwa na tamisemi pamoja na idara ya fedha lakini umekua ukionesha 'demo' tu .
Yaani ni balaa, sasa uendeshaji wa shule,idara mbalimbali na taasisi umekuwa mugumu kisa Affars , mtandao haujafunguka kila wakati ni kalenda tu, mara wiki ijayo, mara sijui nini? hivi jamani mpaka leo najiuliza kulikoni.
Ninachofikiria labda serikali haina hela mambo yamekuwa magumu hawataki tu kusema ukweli, na si kisingizio kuwa mtandao sijui umefanyeje, kama hawana hela si wawambie watu ukweli.