Hivi ni kweli mke anauma?

wanawake hujisahau kua wao ni madereva kwenye ndoa na mume ndo mmiliki, yaani wao hutaka wawe sare na waume kimamlaka na huu ndo hua mwanzo wa migogoro
 
Sio mke tu anaye uma hawala tu ndg yangu akizingua mpaka unachanganyikiwa
 
Hizi ndoa naona skuizi zimepoteza thamani yake kwa kujadiliwa hata pasipo stahili...
Misijaoa bado, ngoja tu nisubiri wenye maumivuyao wakuje na komenti ili nisome..[emoji41][emoji41]
Ngoja tuone
 
Hivi mchepuko nae anauma? Mbona huyu Dada anaendeshwa na kajamaa afu kamwanaume kenyewe kana Mke wake, mtu hujamuoa ni mchepuko unaanzaje kumuonea wivu?

Au ndo mapenzi yenyewe? Maskini mdada wa watu ,bonge la mdada ,shape kama yote, anateswa na ka mjamaa kanalingana kama meza😁😁
Ati Jana ananiambia analia, 'mwanaume ananitesa, wivu ndo usiseme, nikamuuliza mwanaume yupi? Akajibu eti si yule😁 eti kale ka mchepuko.
Kweli mapenzi yana nguvu , huyu Dada na chura yake kama ile beseni kubwa ya kufulia nguo, kama anateswa na ka mjamaa kanalingana na kijiko, Mimi ni nani nisiteswe??

Hivi wanawake wenzangu mchepuko ni wa kuleta ndani kwako? Seriously?
 
Labda unieulize kama sijagongwa, au unaona nafanana na Me?
dah! ID zakificho nazo mtihan mtupu maana kuna midume inawekaga sura za kike kwenye avatar ndo maana ni ngum kutofautisha mkuu, je wewe hujawahi gongwa mkuu, na kama uligongwa mumeo alijisikiaje?
 
Haha ukiona hivyo hampendi mume wake ,Yani mtu Ni mchepuko bado anakuumiza

Alafu mwanamke uliyeolewa unapatapi muda wa kuongeza na mchepuko

Ukisikia tabia za barabarani kuzileta ndani kwako ndo Hilo

Mwanaume mmoja tu ananitoa jasho ,nikiongeza wa pili watoto ,kazi ,ndugu kuhandle familia nitachizika
 
dah! ID zakificho nazo mtihan mtupu maana kuna midume inawekaga sura za kike kwenye avatar ndo maana ni ngum kutofautisha mkuu, je wewe hujawahi gongwa mkuu, na kama uligongwa mumeo alijisikiaje?
Hao wa hivyo hawajiamini au wako kwa bness fulani humu any way usijali. Mie sijagongwa bado nina miaka 7 kwny ndoa sitegemei kugongwa
 
Hao wa hivyo hawajiamini au wako kwa bness fulani humu any way usijali. Mie sijagongwa bado nina miaka 7 kwny ndoa sitegemei kugongwa
Hongera madam ,sifa ya mwanamke kutulia bhana
 

Una miaka mingapi?
 
nyie ndo mnasemaga baby kimoja kinatosha alafu mnapigwa hadi vi4 hata hamshtuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…