Hivi ni kweli maisha magumu au maigizo tu jamani?

D squared

Member
Oct 27, 2016
52
46
Napenda kuuliza watu kila kona utasikia maisha magumu, mimi naona kama Wana act movie. Jana nilienda Fiesta leaders pale nilikuta pamejaa nafasi hamna, sasa nyinyi wa maisha magumu ndio nyie wa leaders na kila siku ukipita tu mjini magari unayokutana nayo yote ni T........ DJ.

Mimi naona kama wana-act movie basi wacha move iendelee, ni hayo tu.

467f499fd29824183f9244c18b732428.jpg
 
Maisha ni vile unavyoyatafsiri.. ukitafsiri ugumu basi yanakupa page za ugumu.....
 
Sasa na wewe watu kwenda Fiesta ndio unaona maisha sio magumu? Kiingilio 18,000 hio ni nayo ni hela ya kusema maisha sio magumu? Walioenda asilimia kubwa sisi tunaolalamika maisha magumu ndio tumewapa viingilio.
 
Back
Top Bottom