Hivi ni kweli kwamba Rais Magufuli atakuwa mwenyekiti wa CCM?

Chama kimekwishatoa tamko kuwa hakina fedha kwaajili ya kugharamia mkutano wa kumkabidhi magufuli chama!
 
E
Sitaki niende mbali sana lakini nikimwangalia Mwenyekiti wa CCM wa sasa Rais Mstaafu JK, navyoufahamu misingi ya uongozi wa kisiasa vizuri,anavyoijua diplomasia vizuri! Sijui na sina uhakika kama atamkabidhi kijiti Rais wa sasa kua mwenyekiti wa chama mwezi ujao Julai kama inavyosemekana.


Simaanishi kua JK utaendelea kua mwenyekiti wa chama kwa kung'ang'ania uongozi laahasha!lakini sio lazima mwenyekiti awe Rais Maguli, anaweza kua mwingine! Rais anaweza kubaki kuendelea na majukumu ya urais.


Nimeyasema haya nikiwa na maana ya kwamba kwa styles za Mtukufu Rais za kuongoza, CCM kinaweza kupotea kabisa katika ramani ya siasa kupitia baadhi ya maamuzi ambayo yanaweza kufanya na kukiathiri chama vibaya sana, na pia kuna uwezekano wa vyama vya upinzani kua katika wakati mgumu sana katika ustawi wake nchini kupitia maamuzi yataksyofanywa ndani ya CCM.


Nina uhakika haya ninanayoyasema yamekwishatathminiwa na mwenyekiti Kikwete kabla ya kukabidhi chama Julai endapo itakua hivyo.

CCM watarajie maumivu kwenye bajeti ndani ya chama hasa kwa ziara za kukijenga chama, kupungua kwa ziara za kuimarisha chama ndio kifo chenyewe!

Kama CCM watazuiwa kufanya ziara za kichama na Chairperson wao kwa kigezo cha kubana matumizi pasina shaka na upinzani nao utegemee kupangiwa ziara zao au kuzuiwa kabisa ziara zao kupitia dola kwa sababu ambazo zinaweza kuelezwa kua "intellijensia yetu imebaini....... 1,2,3" Hii hali inaweza kuzua vurugu baadae na kubakisha mahakama pekee kutoa maamuzi kwa misingi ya kisheria. Hii nguvu ya inaweza kuwapa nguvu upinzani kuedelea kujiimarisha zaidi wakati CCM wataendelea kubana matumizi kuenzi falsafa za atakaChailakininakinin wao.

'ALWAYS TIME TELLS"
"Ramadhani Kareem"
Essentially utaratibu huu wa kuachiana madaraka kati ya mwenyekiti wa Chama na Raisi si wa kikatiba, ni utaratibu ulioasisiwa na Mwalimu Nyerere kwa kutumia busara ambazo ulilenga kuepusha mgongano wa kiuongozi- collision of powers kati ya Raisi na Mwenyekiti wa Chama. Mzee Mwinyi aliwahi kusema " Kila zama na kitabu chake", inawezekana kabisa wakati umefika sasa kuwa na mwenyekiti wa chama ambaye si raisi wa jamhuri ya muungano- who knows this might as well enhance efficiency
 
Magufuli anakabidhiwa chama July 13, sasa vitambulisho vya wajumbe vinaandaliwa huko Dodoma

CCM ni taasisi sio Sacco's
 
Madhara yako pande zote na faida ziko pande zote.
Shida ni kuwa Magu hajui kuchanga karata zake. Chama hakitaki ubabe huko ni siasa tuu.
Someni hata Hitler pamoja na ukatili wake alikuwa anaendeshaje chama chake cha Kinazi? Utawala wa kisiasa ni very trick, ukienda hovyo unakwama tuu unless uamue kuugeuza kuwa wa serikali ya mabavu. Ila ujiandae na maisha ya mahangaiko baadae au hiyo baadae kutoiona
Nyie mnaojua kuchanga karata ndio mlichanga mkakabidhi kijiti Lowasa au mlichangiwa?
 
Pale unapoomba nyumba ya jirani iungue.... huku kwako una baruti, nyasi kavu, mitungi ya gesi inayovuja, vibande vya chuma chakavu, madumu sita ya petroli na Lita nane za mafuta ya taa.
 
Back
Top Bottom