MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Sitaki niende mbali sana lakini nikimwangalia Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Rais Mstaafu JK, anavyofahamu misingi ya uongozi wa kisiasa vizuri, anavyoijua diplomasia vizuri! Sijui na sina uhakika kama atamkabidhi kijiti Rais wa sasa kuwa mwenyekiti wa chama mwezi ujao Julai kama inavyosemekana.
Simaanishi kuwa JK utaendelea kua mwenyekiti wa chama kwa kung'ang'ania uongozi laa hasha! lakini sio lazima mwenyekiti awe Rais Maguli, anaweza kua mwingine! Rais anaweza kubaki kuendelea na majukumu ya urais.
Nimeyasema haya nikiwa na maana ya kwamba kwa styles za Mtukufu Rais za kuongoza, CCM kinaweza kupotea kabisa katika ramani ya siasa kupitia baadhi ya maamuzi ambayo yanaweza kufanywa na kukiathiri chama vibaya sana, na pia kuna uwezekano wa vyama vya upinzani kuwa katika wakati mgumu sana katika ustawi wake nchini kupitia maamuzi yatakayofanywa ndani ya CCM.
Nina uhakika haya ninanayoyasema yamekwishatathminiwa na mwenyekiti Kikwete kabla ya kukabidhi chama Julai endapo itakua hivyo.
CCM watarajie maumivu kwenye bajeti ndani ya chama hasa kwa ziara za kukijenga chama, kupungua kwa ziara za kuimarisha chama ndio kifo chenyewe!
Kama CCM watazuiwa kufanya ziara za kichama na Chairperson wao kwa kigezo cha kubana matumizi, pasina shaka na upinzani nao utegemee kupangiwa ziara zao au kuzuiwa kabisa ziara zao kupitia dola kwa sababu ambazo zinaweza kuelezwa kua "intellijensia yetu imebaini....... 1,2,3"
Hii hali inaweza kuzua vurugu baadae na kubakisha mahakama pekee kutoa maamuzi kwa misingi ya kisheria. Hii nguvu ya inaweza kuwapa nguvu upinzani kuendelea kujiimarisha zaidi wakati CCM wataendelea kubana matumizi kuenzi falsafa za atakaChailakininakinin wao.
'ALWAYS TIME TELLS"
"Ramadhani Kareem"