Hivi ni kweli kwamba imeshidikana kabisa kumshusha Diamond Platnumz licha ya juhudi zote kutoka kwa haters?

You are damn right

My basic point is... Kwanini hizi mediA ambazo zinahisi zina bifu nae (tena bifu la kijinga) zisikutane na Mondi at round table..and settle the matter out..
Don't they see the money they can make...!!??
Uchawi ni ktu kibaya sana.
Hahahaaaaa mnashangaza sana yani mnahisi wanaopata hasara ni medias tu...hamumfikirii na jamaa?.coz siyo kweli kwamba tz nzima wataskiza wasafi fm tu mzee au kuangalia wasafi tv tuu...hakuna mkubwa zaidi ya taasisi...hakuna taasisi ya kipuuzi ya kumpigia magoti mtu aina ya Diamond hakuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kujua Hilo kapitie uzi za Playboy ambaye ni fan wa kiba ambazo amemsifia kiba alafu angalia comments za members walivyomjibu.Huyu jamaa hakuna hata comment mmoja inayomuunga mkono zaidi ya watu kubeza kiba.
Unafatilia kumbe eeh?..safi why unafatilia coz uliona KIBA ryt there and z not true kwamba people going there to fight against I, na sio kweli kwamba wote walienda pale kussuport wote walikuja kila mtu kwa mawazo yake na by the way huwaga situmii maneno mazuri saana kwenye thread zangu so wao lazima waje kwa wingi coz huwa ni maneno ya kumtoa NYOKA PANGONI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ubaya waki mu ignore hata kama anapiga hela na maisha ni yake?

si ndio unachomanisha na kutaka? hawa wengine acha wale wanachoweza hata kama ni kidogo

kwani unahisi diamond anakosa nini?....


Kusaga aliona mapema sana kuwa diamond ana roho ya kupambana, fighting na ni entertainer..akaamua kufungua WCB media....so mmiliki wa clouds ndio mmiliki wa wasafi.Unataka nini hapo tena?
Aaaaaah kaka acha bwanaaaa so hizi ni drama tu kama za DIAMOND karanga...kumbe wenyewe wapo???.....kwiiiiiikwiiiiikwiiiiiiii.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila jambo ni kwa majira na Nyakati zilizokubaliwa, wakati ukifika atashuka tu.
 
Kipendi kile tunasikiliza ngoma domo ft neyo,domo ft Rick Ross,domo ft Morgan heritage
Siku hizi tunasikiliza domo anaimba boringo,sijui lingara na akina yope,wasanii hata hawajulini,eti msanii anaitwa ten,mara tunasikia jamaa anakopi na kupesti,wakati wenzie akina Davido,wizkid ndo wamecharuka huko mamtoni kolabo kama zote na akina Drake,chris brown
Alikuwa aki-shoot video kwa akina godfather na Justin Campos,sasa hivi mavideo yake hata hayaeleweki magizagiza anavaa hovyohovyo,anavaa mahereni yananing'inia ka choko..

Diamond alikuwa zamani bwana,enzi za utanipenda,hallelujah,wakawaka,marry me...siku hizi sijui anaimba nini
Hater,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio unaona jamaa bado yupo kwenye mainstream ila jamaa kashatoka nje ya reli,usa kuna kitu kinaitwa RIAA ambacho moja ya kazi zake ni kufanya research ya music industry eg mauzo etc huku kwetu hatuna kingekuwepo wangeweka statistics ungeona jamaa alivyoshuka kimuziki.

Dimondi kashuka kimuziki sasa anabebwa na team maandazi yake tu,hawezi kupata shabiki mpya kwa MABOKO yake anayotoa kwa sasa,sio DOMONDI hata KIBAKULI naye kashaisha....Mda wao umeshapita!!!
one year later, guess who is still on top?
 
one year later, guess who is still on top?
Unapima kwa makelele ya mashabiki wake online? Hivi kelele za kina meneja wake salama kipindi kile show mil 20 zimefikia wapi? Sema huwa simfatilii msaniii wenu ningeingia chimbo na kukufanyia analysis ya DOmo uone jinsi alivyoshuka kimuziki.
 
Wadau wa Burudani nianze kwa kuwasalimu Igweee...!

Thread title is clear..

Sasa nisiwachoshe... Tushee maujuzi.. Je! Ni kwanini imeshindikana kumtoa Diamond katika maintsream...

Yani ni yeye tu kila mahali....

New Hits....

Gossips...

Infortaiments...

Events....

Love zones....

Parenting....

Showbizz... and all...

Yani ni kweli kwamba wasanii, waigizaji, ma slay queens, wambeaa.. Woote wameshindwa kabisa kumchallenge Mondi!? Mnamuacha tu atawale all the Industry ya burudani!?? Hivi mnajua hela ngapi anapiga!??

Licha ya kufungiwa katka Media kuu nchini Clouds na EATV n RADIO hajayumba. !??

Hivi hizi media zilizompa ban... Hazioni ni pesa ngapi zimeshapoteza na zitaendelea poteza kwasababu tu ya wivu na chuki za kishirikina.!??

Media hizi hazijui ni jinsi gani wapenzi wa WCB wanakosa burudani kutoka kwa upande huo!??

Okayy...! Labda mlipishana kibiashara.. Je! Wasikilizaji inawahusu nini!!??

All hit songs and events are now WCB.... why dont u come down and negotiate...for the good of yourselves and Tanzanians.

Tangu mwaka huu umeanza Sijaona wa kumlinganisha na Diamond Platnumz....

Its a high time now this Man receive a special Recognition..

Ntarudi...
Mond ni level nyingine,Kama hawajuhi kilichompandisha,watawezaje kumshusha?
Mond ni zaidi ya mwanamuziki wa bongofleva,usimfananishe na kina benpaul,Juma necha,
Huyu ni mfanyabiashara,amewekeza kwenye real estates,apartments,yupo kwenye media,anamiriki vyombo vya habari,hata akiacha kuimba leo,pesa yake inamfanyia kazi.
 
Unapima kwa makelele ya mashabiki wake online? Hivi kelele za kina meneja wake salama kipindi kile show mil 20 zimefikia wapi? Sema huwa simfatilii msaniii wenu ningeingia chimbo na kukufanyia analysis ya DOmo uone jinsi alivyoshuka kimuziki.
Mzee anashukaje kimziki ikiwa kila siku anatanua wigo wa fans nchi za nje na namna ambavyo humu Tanzania anavyokubalika sijui hiyo jeuri ya kusema hivyo unaitoa wapi?
 
Unapima kwa makelele ya mashabiki wake online? Hivi kelele za kina meneja wake salama kipindi kile show mil 20 zimefikia wapi? Sema huwa simfatilii msaniii wenu ningeingia chimbo na kukufanyia analysis ya DOmo uone jinsi alivyoshuka kimuziki.
pumbavu mkubwa leta fact, na kelele za MASHABIKI means anahit, why sio aslay, Ben pol,belle9, richmavoko, alikiba Wala beat nassor kuwa na mashabiki na kupigiwa kelele hila diamond platinumz THE G. O. A. T
 
Unapima kwa makelele ya mashabiki wake online? Hivi kelele za kina meneja wake salama kipindi kile show mil 20 zimefikia wapi? Sema huwa simfatilii msaniii wenu ningeingia chimbo na kukufanyia analysis ya DOmo uone jinsi alivyoshuka kimuziki.
hivi embu nijuze, ameshuka akawa chini ya nani? harmonise au kiba?
 
Back
Top Bottom