Hivi ni kweli kuwa wanawake huwa hamuamini kuwa waume zenu kuna muda hawana hela?

No savings, investments, business au salary au hata wages kama unapendwa kutumwa.. halafu mwanamume kusema hana pesa.. aiseee huyo si atakuwa mvivu au? Bora awe na hayo matatu ya mwanzo juu hata kama ameamua kuwa na cheo au kazi kufanya mahala. Kama mwanamume hana hayo na anasema hana fedha hiyo ni shida kubwaaaaa.. Ndoa itakuwa na madoa..

Kama anayo hayo akasema hana cash basi hata million unaweza kumupa kama pocket money. Ukijua atapata tu za kuweka mkononi na pesa zinajiongeza sehemu kadhaa wa kadhaaaa kwa kufaidisha familia sasa na miaka ijayo.. wanawake sio wafujaji pesa kama asilimia kubwa ya wanaume.. wanawake wanajua kutunza pesa.. wengi wanazo na huwaficha waume.. kwasababu.. waume wengi nimesikia story nyingi wanapenda kuona za muke zinaisha.. ndipo wanakuwa wabahiri.. usiombee ukasema huna pesa kama una hayo ya manne au huna.. halafu ukajulikana una muchepuko.. utakomaaaa..
 
no savings, investments, business au salary au hata wages kama unapendwa kutumwa.. halafu mwanamume kusema hana pesa.. aiseee huyo si atakuwa mvivu au? bora awe na hayo matatu ya mwanzo juu hata kama ameamua kuwa na cheo au kazi kufanya mahala. kama mwanamume hana hayo na anasema hana fedha hiyo ni shida kubwaaaaa.. ndoa itakuwa na madoa.. kama anayo hayo akasema hana cash basi hata million unaweza kumupa kama pocket money. ukijua atapata tu za kuweka mkononi na pesa zinajiongeza sehemu kadhaa wa kadhaaaa kwa kufaidisha familia sasa na miaka ijayo.. wanawake sio wafujaji pesa kama asilimia kubwa ya wanaume.. wanawake wanajua kutunza pesa.. wengi wanazo na uwafichawaume.. kwasababu.. waume wengi nimesikia story nyingi wanapenda kuona za muke zinaisha.. ndipo wanakuwa wabahiri.. usiombee ukasema huna pesa kama una hayo ya manne au huna.. halafu ukajulikana una muchepuko.. utakomaaaa..
Sijaelewa point yako
 
Hakuna Mwanaume mpambanaji anaefulia muda wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu habarini za mwisho wa wiki,

Leo naombeni walioko kwenye ndoa hasa wanawake wanisaidie jambo moja ambalo nimeliona. Mara kadhaa nimesikia wanawake wakisema kuwa "Mwanaume haishiwi pesa" kitu ambacho kiukweli wanaume wanajua kuwa si kweli. Kuna muda mwanaume unaishiwa hadi mwendo wa kutembea unachange.

Naombeni kujua uhalisia upoje ni baadhi ya wanawake wachache tu ndio huamini hivyo au ndio wote mpo hivyo?
Yaani mwanaume hata akisema hana hela lakini utakuta mwanamke huyuhuyu haamini juu ya hilo

Mawazo yenu na michango yenu ni muhimu kwa ajili jambo hili.

Natanguliza shukrani
Vipi? Wewe Pesa zimekuishia?? Pesa hakuna kwa mfuko??
 
Back
Top Bottom