Hivi ni kweli kina dada mnakuaga na true love kwa mume wa mtu?

We are on the same page Mtende, but when the CHEMISTRY between the two is very HIGH then anything can happen including praying every minute oh! God can you turn my SO to a stone hahahahahahahah kila ukimcheck bado ni NTU 🤣🤣🤣 Unaanza mchepuko wa kujificha sehemu baada ya muda mtu anagundua but I love this man/woman so much then zinaanza outings clubs, dinners, lunches and then there is a BIG DILEMMA I want this man/woman to be mine FOREVER BUT...hahahahahaha BOOM!




I understand what you are talking about, ila reasoning level inatakiwa itawale na pia making the right decision instead na sio emotional decision

Ila kwa kweli mapenzi hayana mbabe, unaweza kufanya chochote for the sake of love
 
Sijui kwa nini inakuwa hivi, unakuta mtu anakupenda haswa tena humpi chochote ilà anakuganda kama huba. Usipokuwa man enough unaweza kuzama kwa mwanamke wa aina hiyo, tuliokimbia huo mtego mpaka leo tunaonekana malofa, hatusimamishi na hatujui mapenzi.
 
Labda kama una helaaaaa na unampa heeelaaaa

Siku zikikata utaambiwa kapambane na mkeo

Ndio utajua hujui
 
Mi nina tabia ya kunyoa kipara tena kile cha kigangsta so kuna mke wa mtu tuliwahi kufanya nae kazi badae nikahama. Juzi kati tumekutana nimeruhusu nywele ziote, kwa mshangao kabisa akaonekana kupagawa na nywele zangu mixa kunilaumu kuwa kwanini nanyoaga kipara wakati nina nywele nzuri. Sijui nywele nzuri zinakuaje ila toka tuonane tena amekuwa mtu wa kuomba appointment sana. Bado napima upepo, huenda kweli hawa viumbe wanaangukiaga kwenye vitu simple sana na kujikuta wamependa.

Nimeapa sintoingilia ndoa ya jamaa
 
Back
Top Bottom