Mkuu ahsante kwa maada nzuri,
Najua siyo vema kuuliza swali juu ya swali lakini kuna mjadala kama huu niliwahi kuukuta nikajikuta unaniachia maswali na hapa nisingependa kujichanganya kwanza kabla sijapata mawazo ya wadau hapa juu ya swali kama hili.....
Kuna tofauti gani kati ya "TABIA" na "HULKA" au vyote ni kitu kimoja?
Ahsante mkuu nadhani utakuwa tu umepanua WIGO wa MJADALA...na kama wadau watatiririka basi tunaweza kuchora mstari kati ya TABIA na HULKA...Binafsi hata mimi natatizwa na haya makitu....
Kuna Tabia mtu alikuwa nayo Babu yake,Baba yake na yeye mwenyyewe...
utambadili utaweza?...
Binafsi naamini njia ya kumbadili mtu ni kuanza utotoni..
na sometimes kuchanganya damu...
kama ukoo wenu mna tabia za uvivu na kuuupalilia umasikini....basi nenda kaoe mbaali huko
ikiwezekana nje ya kabila....ili watoto wasiathirike na tabia hizo..
Kwenu wagogo....kaoe wachaga na kadhalika...lol

Kuna mambo mengine huwa yapo kwenye DNA na mojawapo ni baadhi ya tabia za mtu.
Hivyo ni vigumu sana kuyabadilisha.
Mkuu The Boss, hivi hii itakuwa ni "Tabia" au ni "Hulka"
Ni kweli wakati mwingine ni muhimu kuanzia mahali kama hapa kwa sababu kuna kimoja ni "social construct" na kingine ni "nature" (japo tafsiri yake huwa inanipa tabu kidogo ya hili neno nature) na kwa kutambua huwa naona kama itarahisisha kupata jibu sawia MAANA KUNA WAKATI unaweza kutaka kum-mend mtu ukajikuta unakata tamaa maana "Tabia haina dawa" na ni "sawa na ngozi kwenye mwili"
Kuna mambo mengine huwa yapo kwenye DNA na mojawapo ni baadhi ya tabia za mtu.
Hivyo ni vigumu sana kuyabadilisha.
Kuna watu genetically walevi....lol
from babu to babu...
na wengine sex addicts....the list goes on..
hulka ni sehemu ya tabia...ikikomaa ndo tabia...
tabia = mazoea yanayotokana na kurudiarudia hali, mwenendo au matendo
hulka = tabia ya mtu, mwenendo wa mtu, maumbile. Pengine huluka...
Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu
Mkuu naona umekuja na SOLUTION Kabisa..but nilichotaka kabla haujahitimisha ni kuona kwamba Je? Kuna mazingira ambamo mtu anakiri kabisa kuwa kwa hili siwezi BADILIKA!!...yaani kwamba na yeye kesha give-up
TABIA = Mazoea yanayotokana na kurudiarudia hali, mwenendo au matendo
HULKA = Tabia ya mtu, mwenendo wa mtu, maumbile. Pengine huluka.
Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili sanifu