Hivi ni kweli haya ni maajabu

Totos Boss

JF-Expert Member
Dec 30, 2012
5,456
1,565
Haya ni maumbile tu kama ilivyo kwa wengine yamekuaje ni maajabu...
BBB.jpg
 
Apumzike kwa amani.

Kumbe alishafariki, ametutoka hapa Ulimwenguni akiwa na umri wa miaka Sabini na mitano (75).

Nimezama kujua habari zake kwa undani sasa hivi baada ya kumuona kwenye sredi yako.

Ahsante mleta picha
 
Back
Top Bottom