Hivi ni kweli COVID-19 haijaingia bongo au ndio tunafichaficha kama ilivyo desturi yetu?

Kuna mtu katoka Zanzibar kaenda Italy kakutwa na virusi.

Haijulikani alikuwa navyo tangu Zanzibar au kavipata Italy.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Covd19 bongo ipo mda mrefu Sanaa

Mafua yapo kitambo sana sema sisi wabongo huwa tuna tabia moja naweza kusema nzuri au mbaya...

"Kupuuuzia"

Yes kupuuzia magonjwa madogo madogo haswa kama mafua.

Watu wanaumwa mafua wengi tuu na wapo mjini ila wanapouzia na hii haitujengei hofuu.

Hofu ndio hatari kuliko Corona yenyewe sasaaa

Sisi tumeishinda hofu so tumeyashinda mafua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,

Sidhani kama kuna serikali inayopenda raia wake wapate maradhi haya.

kuna Mamlaka husika zitasema kama kuna changamoto hii hapo nchini.

Tuache kupiga ramli zisizo na mpango.

Shukrani
haya sasa , utata leo umethibitishwa! mambo ya kusubili subili!
 
Back
Top Bottom