Nimekuwa nikipitia mijadala mbali mbali kwenye jukwaa la siasa tatizo kubwa nililoliona watu wamekuwa na ushabiki mkubwa wa vyama vya siasa.
Kwa mtazamo wangu tuna haja ya kwenda mbali zaidi tukaacha ushabiki wa vyama tukawapima viongozi kwa ufanisi wao na sio kwa vyama vyao, ninaposema viongozi namaanisha kuanzia ngazi za chini mpaka ngazi za juu.
Naomba kuwasilisha tujadili bila ya ushabiki wa vyama karibuni.
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Ngoja nikuulize wewe, kwa akili yako kuna kiongozi gani wa CCM ambaye wewe unaona anafaa kuongoza nchi? Najuwa hauna jibu. Umenipata mpaka hapo?
tatizo hizo kura za mgombea binafsi nani atasimamia mikoa yoyote mpango mzima ni chadema ndo mkombozi wa watanzaniaMkuu hapo nakuunga mkono kuwa kuna haja ya kupitishwa sheria ya kuwa na mgombea binafsi itawaondolea viongozi wetu ukiritimba wa vyama vya siasa.
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Tuache ushabiki nafasi ya uraisi !
(1).Kambi ya wazee ni EDWARD LOWASA
(2)Kambi ya vijana ni Ridhiwani Kikwete !
Asante.
Nimekuwa nikipitia mijadala mbali mbali kwenye jukwaa la siasa tatizo kubwa nililoliona watu wamekuwa na ushabiki mkubwa wa vyama vya siasa.
Kwa mtazamo wangu tuna haja ya kwenda mbali zaidi tukaacha ushabiki wa vyama tukawapima viongozi kwa ufanisi wao na sio kwa vyama vyao, ninaposema viongozi namaanisha kuanzia ngazi za chini mpaka ngazi za juu.
Naomba kuwasilisha tujadili bila ya ushabiki wa vyama karibuni.
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Kiriku hao uliowatja ni back benches ngoja wapate madaraka ndo utawajua.yuko wapi zambi?