Bi nyakomba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 385
- 104
Hivi ni kweli kuwa mnapoanza mahusiano mapya, mkajikuta mnapeana tam tam mara kwa mara inachangia kuchokana mapema? Hebu tupeane maujanja asee!
Hayo mambo hayafuati kanuni!
kwanza ukae ukijua kabisa hamna mapenzi yanayokuwa mahungu mwanzoni.....kuhusu tam tam kama kweli mwapendana hamna tatizo lakukumbuka ni kwamba itabidi muwe wabunifu....sio kila leo kifo cha mende au kwenye bed tuu
Hakuna kanuni wala mwalimu katika haya, ingawa wengi husema kuwa kuna mambo mengi yanayopelekea kuchokana, mfano:- mama anapozaa, upendo huhamia kwa mtoto, hivyo baba hubaki na nusu, wakati mtoto huenda na nusu. wakati huohuo, macho ya baba huendelea kukinai, kwani macho nayo huanza kupenda kuona vitu vipya, wakati huohuo, mikono (sense organ) huanza kukinai kwani kushika kitu kilekile kila siku, huchosha, hivyo huanza kutamani kushika kitu kipya, na hasa ukilogwa ukaonja nje ya ndoa, basi hapo ndio mwanzo wa kukinai na kuanza kudharau mke wa ndani. Wakati huo huo, mke wa ndani huanza kuhisi tofauti, naye huanza kutafuta support toka nje. naye atakapo onja nje ya ndoa, basi ndoa huanza kuingia doa.
Kuchokana kwa kutiririshana mjue mmei-nvesti kwenye tiririka tu
Nje ya hapo, hamna kitu cha kupeana.
Hata hivyo Diminishing Margian utility??!!
Waweza kuwa mbunifu kumbe mwenzio kifo cha mende ndo network yk inakamata sawasawa lol, kila ukipinduka na manjonjo wengine hawafiki mlimani hahahahahaha, but point taken
kama mmekimbilia kurukiana kama factor ya mapenzi, soon things will get sour. mahusiano yanayodumu huwa ni yale yanayojengwa kwene mambo yasiohusu kurukiana. take it from me.
eti mnapoanza mahusiano mapya, mkajikuta mnapeana tam tam mara kwa mara inachangia kuchokana mapema? Hebu tupeane maujanja asee!
Tatizo la vijana wengi siku hizi wanafikiri mapenzi ni ku****** tu.
Mapenzi ni zaidi ya hicho..
Ukiegemea huko ndo utakuwa mwepesi wa kukinai
Hivi ni kweli kuwa mnapoanza mahusiano mapya, mkajikuta mnapeana tam tam mara kwa mara inachangia kuchokana mapema? Hebu tupeane maujanja asee!
Kuchokana kwa kutiririshana mjue mmei-nvesti kwenye tiririka tu
Nje ya hapo, hamna kitu cha kupeana.
Hata hivyo Diminishing Margian utility??!!