Hivi ni kweli anavyosema kipanya?

Hivi ni kweli anavyosema kipanya?

17518_335650256541695_561585190_n.jpg
 
Bro Mzizimkavu ujumbe wako unashinda kusoma gazeti zima... picha moja tu ni ujumbe tosha kwa umma huu wa kiTanazania..
nacho tamani ni viziwi, wehu, majambazi, na hata wadokozi (walioko madarakani) waone haya kwa haya wanayo wafanyia waTanzania.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wapeprushe wasio na uchungu na nchi ya Tanzania na wananchi wake..
 
Bro Mzizimkavu ujumbe wako unashinda kusoma gazeti zima... picha moja tu ni ujumbe tosha kwa umma huu wa kiTanazania..
nacho tamani ni viziwi, wehu, majambazi, na hata wadokozi (walioko madarakani) waone haya kwa haya wanayo wafanyia waTanzania.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wapeprushe wasio na uchungu na nchi ya Tanzania na wananchi wake..
Asante sana mkuu eddiom na Wewe ujumbe wako ni mkali kuliko ujumbe wa kwangu na ujumbe wako umewafikia Wahusika hao Mafisadi asdante sana na Ubarikiwe mkuu.
 
Last edited by a moderator:
mwakyembe%20mabasi.jpg

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akizungumza na waandishi habari mbele ya abiria na wahudumu wa mabasi kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam jana. Mwakyembe alifanya ziara ya kushtukiza kufuatia ripoti kuwa nauli za usafiri wa mabasi ya mikoani zimepanda maradufu kwa kile kinachodaiwa na watoa huduma ni ongezeko la abiria katika kipindi hiki ambapo wanafunzi wanarejea shuleni kutoka likizo ndefu.
 
Tuhakikishie coz no research no right to speak

Nimemaliza shule pamoja na dada mmoja jina kapuni alikuwa hajui hata kuandika jina lake. Sasa mtu kama huyo atajuaje kusoma? Kosa la kufuta mtihani wa darasa la nne, lol ni sawa na kokoro linavua hadi nyumba za konokono
 
I swear to God, mi sishangai kwa hili. Wiki iliyopita nilikwenda kumtembelea mjomba wangu pale mabibo hosteli, bahati nzuri nilimkuta na washikaji wenzake wa mwaka wa tatu pale Mlimani. Jamani jamani, yaani wanafunzi wanakariri vijisentensi lakini hawawezi kuji express ipasavyo. Sasa najiuliza,....kwa mpangilio huu tutakuwa na viongozi gani miaka ijayo kama elimu yenyewe ni ya kukariri tu? Pengine utakuta wanafunzi hawa hawa wa darasa la 7 ambao hawajuwi kusoma na kuandika wanafika mpaka chuo kikuu ama hata ma redioni kuelimisha jamii. Jamani janga lingine la taifa hili; badala ya CCM kukaa madarakani miaka 50 bila maendeleo.
 
Back
Top Bottom