Ni tabia ya mtu ambapo kwa sasa imechangiwa sana na mtindo wa maisha pamoja na kukosa hofu ya MUNGU. Kwa miaka ya hivi sasa mvulana/msichana kuwa kwenye mahusiano na msichana au msichana zaidi ya mmoja imekua kama fashion. Ila kwa mtu ambae ana hofu ya MUNGU sizani kama anaweza kufanya hicho kitu..