Hivi ni kwanini?

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
1.JPG


2.JPG


3.JPG

Kampeni za uchaguzi wa wagombea nafasi ya Urais na Makamu wake katika chuo cha usimamizi wa fedha(IFM) jijini Dar es Salaam.

Kiswahili kina matatizo gani?
 
Ukiweka kiswahili kura za masharobaro umekosa
wanakuona hujui lugha.
Mbona uhulizi makapuni ya hapa bongo watu wanaoshuka
hiyo lugha yanawapa kipaumbele kwenye usahiri.
Shauri yako weka ubisha utahachwa na basi kwa sasa boti ni
hii moja hakuna jinsi wewe panda twende
 
Back
Top Bottom