Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,810
- 218,467
Pole sana mkuu , unajua siku zote sikufahamu kama wewe ni mfanyakazi pale TBC , lengo langu halikuwa kuwasakama TBC bali nilijikita kwenye ukweli unaozunguka nchini TanzaniaHizi tafiti nyingine bwana... Hivi umepitia dirishani kwa kila mtanzania mwenye TV ukachungulia ukajiridhisha kuwa wanaangalia chanel gani?, mimi binafsi siangalii TV kabisa, achilia mbali TBC. Ila siwezi kuwaongelea watanzania eti hawaangalii chanel fulani.Muwe mnajiongeza kidogo, sema hata ndugu zangu au rafiki zangu wote kidogo tutakuona unaongelea uhalisia. Tatizo lenu mnahisi kila mtu yupo upande wenu ndo maana mnahisi mna support kubwa na hili swala litawaangusha sana mwakani kwenye uchaguzi. Na najua mtasingizia kuibiwa, ila nitakaa nawakumbusha watanzania sio mafala tena kudeki barabara na kuzungusha mikono hovyo kama NYUMBU.
Ving'amuzi vinavyotumiwa na watu wengi nchini Tanzania vya DSTV na AZAM vimezima local channels zote na kubakisha TBC peke yake , lakini cha kushangaza wananchi hawataki hata kuangalia local channel pekee inayopatikana kwenye ving'amuzi hivyo pamoja na kwamba gharama yake ni bure !
Hii inamaanisha nini ?
Nadhani wananchi nao wameona ugumu huo wa kutofautisha wakaamua kuipuuza !Ni vigumu sana na mno Kutofautisha TBC, IKULU na CCM na CCM, TBC na IKULU. Naomba niishie hapa tafadhali.
Aiseee !!!Mm niliomba azam wanifutie kabisa wakanielekeza jinsi ya kuilock ili watoto wangu wasije wakaharibika akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi tafiti nyingine bwana... Hivi umepitia dirishani kwa kila mtanzania mwenye TV ukachungulia ukajiridhisha kuwa wanaangalia chanel gani?, mimi binafsi siangalii TV kabisa, achilia mbali TBC. Ila siwezi kuwaongelea watanzania eti hawaangalii chanel fulani.Muwe mnajiongeza kidogo, sema hata ndugu zangu au rafiki zangu wote kidogo tutakuona unaongelea uhalisia. Tatizo lenu mnahisi kila mtu yupo upande wenu ndo maana mnahisi mna support kubwa na hili swala litawaangusha sana mwakani kwenye uchaguzi. Na najua mtasingizia kuibiwa, ila nitakaa nawakumbusha watanzania sio mafala tena kudeki barabara na kuzungusha mikono hovyo kama NYUMBU.
Jibu swali acha mihemuko.Hizi tafiti nyingine bwana... Hivi umepitia dirishani kwa kila mtanzania mwenye TV ukachungulia ukajiridhisha kuwa wanaangalia chanel gani?, mimi binafsi siangalii TV kabisa, achilia mbali TBC. Ila siwezi kuwaongelea watanzania eti hawaangalii chanel fulani.Muwe mnajiongeza kidogo, sema hata ndugu zangu au rafiki zangu wote kidogo tutakuona unaongelea uhalisia. Tatizo lenu mnahisi kila mtu yupo upande wenu ndo maana mnahisi mna support kubwa na hili swala litawaangusha sana mwakani kwenye uchaguzi. Na najua mtasingizia kuibiwa, ila nitakaa nawakumbusha watanzania sio mafala tena kudeki barabara na kuzungusha mikono hovyo kama NYUMBU.
Hawa watu was he.nzi sana, wanahisi watu wote wanamuda mchafu wa kukaa wanatukana mitandaoni, watu wanakaa kimya wanasoma ushenzi wao na kujiondokea basi wanaona wao ndo "watanzania".. upuuzi mtupu.Hizi tafiti nyingine bwana... Hivi umepitia dirishani kwa kila mtanzania mwenye TV ukachungulia ukajiridhisha kuwa wanaangalia chanel gani?, mimi binafsi siangalii TV kabisa, achilia mbali TBC. Ila siwezi kuwaongelea watanzania eti hawaangalii chanel fulani.Muwe mnajiongeza kidogo, sema hata ndugu zangu au rafiki zangu wote kidogo tutakuona unaongelea uhalisia. Tatizo lenu mnahisi kila mtu yupo upande wenu ndo maana mnahisi mna support kubwa na hili swala litawaangusha sana mwakani kwenye uchaguzi. Na najua mtasingizia kuibiwa, ila nitakaa nawakumbusha watanzania sio mafala tena kudeki barabara na kuzungusha mikono hovyo kama NYUMBU.
Mkuu ku guess eti nafanya kazi TBC hakufanyi tafiti yako kuwa kweli. Mi nina zaidi ya mwaka tangu niangalie TV niko bize sana. Ila siwezi kuwasemea watanzania eti wanaangalia chanel fulani. Huo ni Upungufu wa kutumia akili. Mtu yeyote anayetumia LOGIC kufikiria hawezi kukubaliana na wewe. Sema ndugu zako au rafiki zako wote hawaangalii TBC tena. Msiwe mnawasemea watanzania ni UPUMBAVU.Pole sana mkuu , unajua siku zote sikufahamu kama wewe ni mfanyakazi pale TBC , lengo langu halikuwa kuwasakama TBC bali nilijikita kwenye ukweli unaozunguka nchini Tanzania
Busara ni pamoja na kuficha hisia zetu. Mlifanyalo halina afya.Mse....nge sana bibi yako.
Utafiti umefanya wapi barVing'amuzi vinavyotumiwa na watu wengi nchini Tanzania vya DSTV na AZAM vimezima local channels zote na kubakisha TBC peke yake , lakini cha kushangaza wananchi hawataki hata kuangalia local channel pekee inayopatikana kwenye ving'amuzi hivyo pamoja na kwamba gharama yake ni bure !
Hii inamaanisha nini ?
Hizi tafiti nyingine bwana... Hivi umepitia dirishani kwa kila mtanzania mwenye TV ukachungulia ukajiridhisha kuwa wanaangalia chanel gani?, mimi binafsi siangalii TV kabisa, achilia mbali TBC. Ila siwezi kuwaongelea watanzania eti hawaangalii chanel fulani.Muwe mnajiongeza kidogo, sema hata ndugu zangu au rafiki zangu wote kidogo tutakuona unaongelea uhalisia. Tatizo lenu mnahisi kila mtu yupo upande wenu ndo maana mnahisi mna support kubwa na hili swala litawaangusha sana mwakani kwenye uchaguzi. Na najua mtasingizia kuibiwa, ila nitakaa nawakumbusha watanzania sio mafala tena kudeki barabara na kuzungusha mikono hovyo kama NYUMBU.
tunaangalia maisha magic bongoVing'amuzi vinavyotumiwa na watu wengi nchini Tanzania vya DSTV na AZAM vimezima local channels zote na kubakisha TBC peke yake , lakini cha kushangaza wananchi hawataki hata kuangalia local channel pekee inayopatikana kwenye ving'amuzi hivyo pamoja na kwamba gharama yake ni bure !
Hii inamaanisha nini ?
Sawa nakuelewa ila hiyo sampling kaifanya wapi na lini?., % ngapi ya watu kawauliza na wa mikoa gani?., huwezi kuwaongelea watanzania milioni 50 eti wanaangalia chanel fulani. Sio kweli. Tuache ushabiki wa vyama tuongelee uhalisia hapa.Najua jibu unalo ila unakomaa kumsupport huyo jamaa sababu mpo upande mmoja.Swali ni moja TBC, umechanganya mambo mengi hadi ya uchaguzi yanini, halafu utafiti siyo lazima upite kila dirisha kuna kitu kinaitwa sampling techniques.
Hili si jukwaa la siasa au?.. Kwani hili jukwaa la udaku?.,
Kati ya mtoa hoja na wewe nani ametukana.Hawa watu was he.nzi sana, wanahisi watu wote wanamuda mchafu wa kukaa wanatukana mitandaoni, watu wanakaa kimya wanasoma ushenzi wao na kujiondokea basi wanaona wao ndo "watanzania".. upuuzi mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ulishindwa nini kumuuliza hayo na majadiliano yakaendelea, mambo ya upande yanatoka wapi, wewe uko upande gani.Sawa nakuelewa ila hiyo sampling kaifanya wapi na lini?., % ngapi ya watu kawauliza na wa mikoa gani?., huwezi kuwaongelea watanzania milioni 50 eti wanaangalia chanel fulani. Sio kweli. Tuache ushabiki wa vyama tuongelee uhalisia hapa.Najua jibu unalo ila unakomaa kumsupport huyo jamaa sababu mpo upande mmoja.