Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

Wanaume wakishaoa ni wavivu sana kwenye mapenzi kuliko awali kabla hawajaoa.unakuta zamani kabla hajaingia kwenye ndoa dume lilikuwa linajituma mpaka mtoto wa kike anakolea,ila akiingia kwenye kiapo anakuwa mzito sana.hasa wanaume hawa waliooa wakishikwa hamu hakuna tena maandalizi kwa wenzi wao,huishia kuwaparamia kama vile wamehesabiwa muda wa mechi.nimejaribu kuwauliza wanawake kadhaa walioolewa na baadhi ya nyumba ndogo za wanaume kadhaa, wote wamelikiri hili. Wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie kujua sababu ili nami nikiolewa nsikutane na mwanaume mzembemzembe.pia hao waliooa wajifunze wajue mahitaji ya wake zao na maInfii wao

Radha inakuwa imesha kwisha
 
mwajadili nin?
uvivu na kujituma ndoan? iende
aya misjakua bado...:rain:
 
natoka povu mkuu....

festiledi ananizalilisha hivi hivi

Huyu mwanamke wa kwanza hafikishwi na mwanaume wa kwanza, anatafuta sababu tu ya kuonja vya mwanaume wa mwisho
Sasa mkuu unatoka povu umechanganya koka na Quinine au?
 
Nadhani 'nyumba ndogo' ndio wanaweza sema kama wanaume waliooa ni wavivu au la...
 
FL,

Kwa kuwa watuhumiwa hapa ni kina sisi wanaume wenye ndoa pengine si busara tukaanza kujitetea tu.
Kamilisha tuhuma yako kwetu kwa kuwaomba kina dada/mama wa JF walioolewa waseme hadharani hapa kama wanachokipata hakikidhi haja au la. Tuhuma hizi ni kubwa sana FL,

Unajua kadri tunavyokaa kwenye ndoa inamaanisha na umri unasonga (mme na mke), with age kuna vitu viapungua ama kuondoka.

Hebu tuambieni jamani tujijue maana inawezekana tunajisifu kwa kutoa huduma bora usiku kumbe si lolote.

ujumbe umefika nadhan watayaweka wazi hapa jamvini.mie baadhi ya nilioweza kuongea nao wamelithibitisha hili.hakuna jipya kwenu,hakuna tofauti ya kijana na mzee muwapo kwenye ndoa
 
Leo mmeguswa nyie basi visingizio kibao, mnavyotusemaga wanawake mara this mara that huku mna nyumba ndogo lukuki kumbe ni uzembe wenu..baeleze bana Firstlady, mwanaume siyo kuchomeka tu!!.. Nami naomba nisikutane na taip hiyo!!

teh ...kweli kabisa wanaume wanadhani kuchomeka ndio issue.hawajui kama kuku anachemshiwa maji kwanza kabla ya kunyonyolewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom