Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tambara Bovu, Feb 25, 2011.

 1. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wanaume wakishaoa ni wavivu sana kwenye mapenzi kuliko awali kabla hawajaoa.unakuta zamani kabla hajaingia kwenye ndoa dume lilikuwa linajituma mpaka mtoto wa kike anakolea,ila akiingia kwenye kiapo anakuwa mzito sana.hasa wanaume hawa waliooa wakishikwa hamu hakuna tena maandalizi kwa wenzi wao,huishia kuwaparamia kama vile wamehesabiwa muda wa mechi.nimejaribu kuwauliza wanawake kadhaa walioolewa na baadhi ya nyumba ndogo za wanaume kadhaa, wote wamelikiri hili. Wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie kujua sababu ili nami nikiolewa nsikutane na mwanaume mzembemzembe.pia hao waliooa wajifunze wajue mahitaji ya wake zao na maInfii wao
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tatizo tukishawaoa na nyie mnapunguza mvuto, badala ya kujiremba kama wakati tunaiba mnajiacha hovyo na hasa mkishazaa mpaka mwamme anakuwa hana hamu ya mapenzi. Kingine mnatupikia mapochopocho mengi kiasi kwamba tunakuwa Obese na perfomance inapungua!!
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Utake usitake utakutananae tu
   
 4. b

  bagumhe New Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngoja uolewe na wewe utayaona. bnafsi naona wasichana wengi wanajisahau sana baada ya kuolewa na ndio maana nyumba ndogo haziwezi kuisha
   
 5. semango

  semango JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kabla ya kuoa kuku anakua sio wako.lazima umshikie manati (ujitume mpaka jasho la damu linaweza kutoka) ndo uweze kumuiba.lakini ukishaoa kuku anakua wako, manati ya nini.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Sio wanaume tu hata wanawake walioolewa nao pia wanakuwa wavivu, ndio maana kunakuwa na nyumba ndogo nyingi.
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Halafu hivi kwenye ndoa ni mwanaume peke yake ndiye anapaswa kujituma????
   
 8. Msaranga

  Msaranga JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  [tatizo ni kwamba wanawake wakishaolewa hujisahau katika manjonjo mimi nimeoa lakini nikikutana na mke wangu nikijiatahidi sana ni bao mbili ila nikikutana na totoz nyingine naenda hata mara nne sababu ya majonjo hapo hamna ubishi kabisa yaani mkeo sanasana bao moja ndio unakuta walio wengi wanaishia hapo.
  kwa hiyo mwenye nafasi ya kumhamasisha mwanaume ni mwanamke sio mwingine ukiangalia mavazi ya usiku na manjonjo mengine
   
 9. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Unajua nini? kuna wengine wanapenda chakula cha usiku kila siku! hapo pia hupunguza matamanio kwa mwenzi wako. hivyo inafikia kipindi unaona ni bora liende tu, asije akasema leo ulipita wapi!
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Oyaaa!
  Jamani tuoneeni huruma!

  Spidi hiyo tutapata wapi, wakati unajua niko na wewe 24/7?...Nikilala upo, nikiamka upo, nikistuka usingizini upo, nikigeukia upande wa pili upo..huh!, sa nguvu zote hizo zitoke wapi besti?

  Usilinganishe mambo ya uchumba na ndoa sista!..ni kama mbingu na ardhi!.Hujaona watu wanaenda kwenye appointment na mchumba wakiwa na mashati ya kuazima?..ambapo kwenye ndoa tunakula kilichopo!:pray:

  Kua uyaone!
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ahaaaa ahaaaaa semango banaa
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Na kweli akue ayaone

  The Following User Says Thank You to PakaJimmy For This Useful Post:

  The Finest (Today) ​
   
 13. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #13
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  FL hiyo red na bluu nisaidie tafadhali imaana nimechanganyikiwa
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mkuu wangu piijeeey....
  hebu tusaidie kuijibu hii bolded & enlarged part...

   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  khe khe kheeeeeeeeeeeeee....

  Ati hujaolewa halafu umefanya uchunguzi halafu unaprevent, kweli dunia ina mambo!!!! haya bana nawaachia ambao hawajaoa wajifunze kuzuia uvivu wetu
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Halafu staili hiyohiyo kila siku....lazima hamu itapungua.
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Umeonaaa eehhh hata mie kanichanganya
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Nashangaa!! Ndio maana wanaume hukimbilia kwenye nyumba ndogo, nasikia wao hujituma na ni wabunifu!
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  MTM Kheeee Kheeeeee
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  we mama wewe haya bana.....!

  sasa unawowa halaf unakuwa na mainfii
   
Loading...