Hivi ni kwanini walaji wa nyama ya nguruwe hufa vifo vya ghafla?

Nimekuwa nikishangaa sana aisee kwamba kwanini walaji wa nyama ya nguruwe aka kitimoto hufa vifo vya ghafla?

Hadi sasa sijapata majibu lakini nadhani kuna athari fulani kutokana na kula nyama hiyo.

Nawakaribisha wataalamu

Kama huna hakika na unachokiandika bora ukapitia nyuzi nyingine zenye maarifa ukaongeza kitu kichwan kuliko tafiti zako za kupotosha,
🧠
 
Mdudu pendwa anawanyima sana raha.Kufa gafla na kufa kwakujiandaa kote ni kufa.
 
Acha ku i diss vibaya hii mboga.
Ina maana Makamu wa Rais Dr. Omary Ali Juma aliyefariki ghafla na yeye alikuwa anatumia hiyo kitu?
Mtuache na mboga yetu
Mr. MTUI hebu ona huyu
Naona wanaisakama sana mboga pendwa...but hawawezi shinda..wataanguka vibaya
 
Nimekuwa nikishangaa sana aisee kwamba kwanini walaji wa nyama ya nguruwe aka kitimoto hufa vifo vya ghafla?

Hadi sasa sijapata majibu lakini nadhani kuna athari fulani kutokana na kula nyama hiyo.

Nawakaribisha wataalamu
Alyekupa hiyo takwimu kakudanganya.
 
Nimekuwa nikishangaa sana aisee kwamba kwanini walaji wa nyama ya nguruwe aka kitimoto hufa vifo vya ghafla?

Hadi sasa sijapata majibu lakini nadhani kuna athari fulani kutokana na kula nyama hiyo.

Nawakaribisha wataalamu
Sababu ya cysticercosis ambayo ni stage flani ya ukuaji wa minyoo inaingia kwenye ubongo na kusababisha kifo cha gafla aka kifafa, lkn msiogope nguruwe wengi wanapata dawa za minyoo wataalamu wa mifugo wapo pia dawa za minyoo kwa binadamu km plusquntile zipo kama unatatizo la minyoo
 
Pambana na nasfi yako.
IMG-20180917-WA0000.jpg

Nimekuwa nikishangaa sana aisee kwamba kwanini walaji wa nyama ya nguruwe aka kitimoto hufa vifo vya ghafla?

Hadi sasa sijapata majibu lakini nadhani kuna athari fulani kutokana na kula nyama hiyo.

Nawakaribisha wataalamu
 
Nimekuwa nikishangaa sana aisee kwamba kwanini walaji wa nyama ya nguruwe aka kitimoto hufa vifo vya ghafla?

Hadi sasa sijapata majibu lakini nadhani kuna athari fulani kutokana na kula nyama hiyo.

Nawakaribisha wataalamu
Wewe tulia hivyo hivyo hayo maneno yenu hamjaanza leo
 
Mkuu kwani kuna mtu huwa anapigiwa simu na kifo ajiandae??
Mimi nakula atleast kilo 1 kwa week mbona sijafa kifo cha ghafra??
 
Una tuzuga tu mimi bibi yangu huu mwaka wa 89 bado anakula kiti moto vizuri na ndio mboga yake tukienda kumsalimia
 
Back
Top Bottom