Online Pastor
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,948
- 1,515
Nimefanya huduma karibu Tanzania yote na hivyo nimepata wasaa wakubadilishana mawazo na watu wengi.
Baada ya miaka mingi kwenye huduma nimegundua:
1)Ni wakristo wachache sana wanaolisoma Agano lote la Kale.
2)Ukiacha Wasabato,karibu wakristo wote hufuatilia Agano Jipya.
3)Kuna mambo mengi yaliyo katika Agano Jipya ambalo msingi wake huko Agano la Kale,hivyo wale wasiolisoma hawawezi unganisha uhusiano wake wafikapo katika Agano la Kale.
Ningependa kujua;ni kwanini Wakristo walio wengi huwa hawalisomi Agano la Kale?